Mkuu karibu sana Jiji la maraha na karaha...
Namkaribisha nyumbani D'Slam...
kimvua leo.. mtoto halali na pesa watu wazima??
uko poa wewe?ah ah..! umejuaje mkuu, hali ya hewa ilikua ina suport
uko poa wewe?
Dar ni temporary home kwake ila huku chugga tushampa uraia.
na karaha sasa .ni kutekana na kupigana risasi ....
Kocha se uluwie......luche kuirikira....ambiya ulawarime......ngesuo sana cha lhoi......
shukrani mkuu vipi barabara washakaribia kumaliza, maana foleni lake linanipa kibiyongo lol
Pitia tanga basi
Hapo nitakuwepo jumatatu ya pasaka. Hujambo lakini mdogo wangu??
hata mii ntawamiss pia lakini wakati umekuwa ukuta... tuombe uzima
ngoja ajeee !!! kimbembe
mi kulinda kote kule ananiona mi mwizi.. zile move zilikuwa za kujifunzia mbinu za kiusalama tu
hiyo kesi niachie mimi naenda kuimalizia hukohuko jmosi ''leo tupo hapa pub''