Isanga family, nakuona nawe una tatizo lilelile la kutojua mukhitadha ( context) ya kile kinachojadiliwa.Mkuu wewe unaweza kuwa una goggle kupata taarifa za Dunia ya sasa mimi huko walikoendelea ndio sehemu nayozunguka sana ila siwezi kuifananisha Tanzania iwe sawa na Singapore au Hong Kong leo kwa kuwa nimeona huko maduka hayafungwi sina ushamba huo wa kuponda Tanzania kwa sababu pana vitu naviona USA au UK....Bus hizi zimeanza kusafiri usiku tena kitu ambacho hakikuwepo kilikuwepo kipindi cha nyuma sana wakasitisha kwa hiyo kila kitu ni hatua ukiambiwa maduka mawili matatu jua Hospital zote nazo zina maduka ukitaka kwenda kupata dawa usiku unanunua tuu shida ipo wapi hapo Mkuu...
Mimi sijisifu ni kawaida kusafiri mkuu na nachukulia kawaida sana maana nilianza safari nikiwa chalii ila wewe ndio unaona ajabu kusafiri ni ushamba kuchukia na kuleta povu kisa kuambiwa nasafiri...Isanga family, nakuona nawe una tatizo lilelile la kutojua mukhitadha ( context) ya kile kinachojadiliwa.
Nilikuwa namjibu mtu aliyekuwa anadai Arusha ni mji salama usiku eti kwa sababu maduka mawili ya dawa yaliyoko katikati ya mji hufanya kazi masaa 24.
Nilikuwa namuelewesha kwamba kwa viwango vya usalama na kiuchumi, maduka mawili ya dawa kuwa wazi siyo kiwango kinachokubalika.
Ndo maana ya kusema nchi salama watu wake lazima wafanye kazi 24 hours.
Umeelewa? Alafu acha ushamba wa kujisifu kuwa umetembea duniani! Tunajua ulitembea huko kwenda kufanya Nini?
Siye hapa hatuongelei kutembea kwako, tunataka kujua kama una kitu kichwani!
Na nilivyokusoma hapa na unavyojibu hoja, una kichwa chepesi sana.
Ukirudi huko Sasa nenda kasome Tena Ili uwe na kitu kichwani.
Hajui kitu huyo afananishe Guguletu au Cross road pana Nyanga imetolewa kwenye Goggle map kisa wageni wakitafuta bara bara ya short cut wanaikuta Nyanga huko Nyanga wezi wake wanakupiga risasi ya kichwa dereva wa gari ikiwa imesimama kwenye mataa au foleni ndugu zako wanaambiwa washuke chini kwa bumbuazi mbele wanaenda kuutupa mwili wanatokomea na gari huku limejaa damu huyu Mzala anakuja kuongelea Arusha...Ukipata nafasi ya kutembelea Cape town ama Johannesburg.... Ndo utagundua hao Watoto wa Arusha ni kama Warembo tu...!
Uswazi tu kikawaida lazma ujuane na wahuni au la wao wakujue kuwa ni mtu wa mtaani kwao. La sivyo utaporwa watu wanakuangalia tuUko sahihi. Hata moro kuna mitaa ikifika jua limezama ukikatisha kama sio mwenyeji unatafuta jambo lako na kitakachokukuta usilaumu mtu. Kama wizi wa kupora na pikipiki nahisi hata ulianzia moro
Hapo bado hujakutana na Watoto wa Kirangirangi...!Hajui kitu huyo afananishe Guguletu au Cross road pana Nyanga imetolewa kwenye Goggle map kisa wageni wakitafuta bara bara ya short cut wanaikuta Nyanga huko Nyanga wezi wake wanakupiga risasi ya kichwa dereva wa gari ikiwa imesimama kwenye mataa au foleni ndugu zako wanaambiwa washuke chini kwa bumbuazi mbele wanaenda kuutupa mwili wanatokomea na gari huku limejaa damu huyu Mzala anakuja kuongelea Arusha...
Stroke, huu ubishi wako lengo ni kuishauri Serikali isichukue hatua, au unalengo la kuishauri serikali kuchukua hatua kabla hali haijawa mbaya.Hakuna uhalifu Arusha kwa extent anayosema mleta mada.
Arusha ni mji ambao taasisi nyingi zinafanya makongamano yake, taasisi za kitaifa na kimataifa, watu wanafanya mambo yao hakuna madhara yeyote.
Watalii wanajiachia mpaka mida mibovu.
huyu anashindwa kutofautisha life style na uhalifu, kwake yeye labda aina yabmaisha ndio anayoiona kama uhalifu ,
Ila uhalifu kwa maana ya uhalifu kwa Arusha hauna tofauti sana na mikoa mingine, Dar panda Road walikua wanasimamishab mji.
Kagera kulikua na matukio ya utekaji nyara mengi tu, njombe, mbeya rate ya uhalifu ipo juu pia
Arusha haipo hata katika top 5 ya mikoa inayoongoza kwa uhalifu dhidi ya binadamu hivyo hoja ya mletavmada na yako pia inakosa nguvu.
Akitokea aina ya Ally Dangote hapo Dar wabunge wote wa Dar watawasilisha hati za dharura kujadili vile dogo anawanyima usngz hadi njaguz!Arusha hamna kitu 🥴🥴, kijana mdogo kama ALLY DANGOTE anasumbua, mpaka watu wanashindwa kulala 😐😐😐.
Mi siyo mkaka/mvulana wa DAR.... 🤒, Mimi ni mwanaume kutoka mkoa wa MASIMBA📌Akitokea aina ya Ally Dangote hapo Dar wabunge wote wa Dar watawasilisha hati za dharura kujadili vile dogo anawanyima usngz hadi njaguz!
Uongo pia ni uhalifu.Mr stroke, ckujui, lakini kama ulienda shule basi hiyo shule haikukusaidia sana kujua mambo.
Mimi nimesema Arusha Kuna uhalifu wa kizembe ambayo jamii na vyombo vya Dola inabidi viungalie .
Mbona wewe Kila wakati unaleta kujilinganisha na wengine? Hivi ukijilinganisha na wengine ndo uhalifu wako unageuka kuwa si uhalifu?
Nakuona wewe ni mtu usiyejua kujadili mambo kisomi. Bila shaka una damu ya siasa inayokusukuma kushinda hoja kwa kupiga kelele badala ya kujadili mada katika mukhitadha wake( context).
Hatushindanishi uhalifu wa sehemu Moja na nyingine. Mimi nimetoa taarifa ya uhalifu niliona hapo Arusha muda niliokuwa hapo, Sasa unalinganisha Ili upate nini?
Mada yangu haijasema Arusha ni mji wenye uhalifu kuliko miji/ majiji yote duniani. Hiyo comparative analysis ungeifanya kama tungekuwa tunalinganish a hali ya uhalifu na maeneo mengine.
Mbona unakazana sana kukataa uhalifu ambao mie nimeuona? Je wewe nae uko kwenye syndicate ya huo uhalifu?
Takwimu zako za uhalifu za polisi ulizoweka hapa, ukiachia mbali kuhoji auntenticity yake, tayari hizo takwimu ni outdated. Niletee walau takwimu za 2002-2003.
Sio Arusha peke yake.Stroke, huu ubishi wako lengo ni kuishauri Serikali isichukue hatua, au unalengo la kuishauri serikali kuchukua hatua kabla hali haijawa mbaya.
Dogo kauwa watu wa 4 ndani ya muda mfupi, leo unasema ni kawaida? au kwakuwa hajaua ndugu zako.
Na bado, inaonekana kuna vijana aina ya Ally Zaidi ya 6 wako mtaani kwa mujibu wa taarifa mbali mbali katika vyombo vya habari.
Itoshe kusema, Vyombo vya usalama vina kila namna ya kichukua hatua ndani ya Jiji la Arusha.
Kama unataka tufikie level za Colombia ndio serikali ichukue hatua, itakuwa ni matumizi mabaya ya akili.
Wewe kilaza unajua hata maana ya neno outdated??Mr stroke, ckujui, lakini kama ulienda shule basi hiyo shule haikukusaidia sana kujua mambo.
Mimi nimesema Arusha Kuna uhalifu wa kizembe ambayo jamii na vyombo vya Dola inabidi viungalie .
Mbona wewe Kila wakati unaleta kujilinganisha na wengine? Hivi ukijilinganisha na wengine ndo uhalifu wako unageuka kuwa si uhalifu?
Nakuona wewe ni mtu usiyejua kujadili mambo kisomi. Bila shaka una damu ya siasa inayokusukuma kushinda hoja kwa kupiga kelele badala ya kujadili mada katika mukhitadha wake( context).
Hatushindanishi uhalifu wa sehemu Moja na nyingine. Mimi nimetoa taarifa ya uhalifu niliona hapo Arusha muda niliokuwa hapo, Sasa unalinganisha Ili upate nini?
Mada yangu haijasema Arusha ni mji wenye uhalifu kuliko miji/ majiji yote duniani. Hiyo comparative analysis ungeifanya kama tungekuwa tunalinganish a hali ya uhalifu na maeneo mengine.
Mbona unakazana sana kukataa uhalifu ambao mie nimeuona? Je wewe nae uko kwenye syndicate ya huo uhalifu?
Takwimu zako za uhalifu za polisi ulizoweka hapa, ukiachia mbali kuhoji auntenticity yake, tayari hizo takwimu ni outdated. Niletee walau takwimu za 2002-2003.
Kwani wakianza na Arusha kuna ubaya gani?Sio Arusha peke yake.
Ni nchi nzima.
Ha ha ha ha ha ha! Hii Sasa inanipa kujua kwa Nini unaitwa stroke.Wewe kilaza unajua hata maana ya neno outdated??
Kati ya takwimu za 2021 na 2002 na 2003 unazozitaka wewe zipi ni outdated.
Ujuaji mwingi kumbe hata tafsiri ya neno outdated hujui.
Kiazi mbatata wewe.
Nimesoma na jamaa mmoja chuo alikua ni mchuga ,yaan muda wote kiunoni Ana kisu .
Kwenye bag lake yamejaa maminyororo, Rungu ,viwembe had nikawa nashangaa silaha zote hizi za nini?
Matusi Sasa ni Kama breakfast ,yaan kijana alikua anatukana hovyo na huna chakumfanya.
Mirungi ,bangi ,mipombe na mifegi kwake ni Kama mswaki..
Alafu alikua anajifanya mtu wa mbele huko New York City ,mziki anafungulia anavyotaka mihip hop migumu ya huko mambele.
Sema Mimi damu ziliendana Sana baada ya cku moja kuwashiana pira ile mbaya .Nikamweleza kabisa Mimi ni Mtoto wa Mbeya mnyakyusa pure huwez kunitisha kindez watishe wajinga wengine.
Tokea hapo tulikua marafiki Sana na alikua ananidownlodia Sana ma movie na kunipa games kibao kwenye pc yangu maana jamaa alikua mtundu Sana wa Mambo ya IT.
Nilichogundua watu wa chuga wanajiona unique Sana na hawatak kufananishwa na mtu mwingine wakat uhalisia haupo hivo maana ni makima tu Kama walivyo makima wengine.
Then wanaishi maisha yakusadikika Sana kuliko uhalisia wenyew.
Askar wafanye Kaz ya kufa mtu ili kiwabadili mindsets walizojisetia na kujikatia kipande Chao ndani ya hii nchi.
Acha ujinga. Mtu ambaye hayupo Arusha au hajawahi kufika Arusha akikusoma anaweza akakuamini. Arusha ni jiji salama sana hapa nchini.
Hakuna bangi ikiyotapakaa.
Hakuna wahuni waliotapakaa.
Arusha ni patamu balaa.
Philips, Kijenge, Njiro, Lemara, Sakina, Mbauda, Kwa Morombo, Mjini Kati, Moshono, Chekereni, Ngulelo, Kimandolu, Sanawari, Mianzini, Kaloleni, Levolosi, Olmatejoo, Daraja Mbili, Tengeru, Ngaramtoni, Ngarenaro, Majengo: Kote kutamu balaa.
Kuna outskirts pia kama vile Ilboru, Ilkiurei, Kiserian, Kiranyi, Usa River, Mulangarini, Mwandent, Kisongo, Muriet, Olasiti..Kutamu balaa.
Arusha ni jiji bora kabisa la kuishi.
Hakuna tishio la kiusalama kama mleta mada anavyodai.
Mi nimejiapia siku awa watoto wajichanganye na visu vyao butu kuniibia km**e ntamteka mmoja tu namficha maporini kisongo asionekane hata mwaka wapuuzi sana wanazidi sasaNikiri kwamba mie kwa majukumu yangu ya kimaisha ni mtu ninayezunguka sana katika nchi hii na maeneo mengine ya Dunia ukipenda.
Arusha pamoja na kuwa na sifa za madhari nzuri, muingiliano wa watu wa mataifa mbalimbali, na taasisi mbalimbali za kimataifa, ukweli usemwe, Jiji hilo sio salama kabisa kwa maisha ya watu.
Arusha ndo mahali ambapo bangi inavutwa mahali popote, ni mahali ambapo watu wanatembea wakiwa wamechomekea visu kwenye nguo na vinaonekana, Arusha ndo watu wamejaa matusi ya nguoni na hakuna anayeshangaa.
Ukweli, Jiji hilo limejaa aina ya maovu ambayo mengi yake ukiyaona hakika yameruhusiwa na jamii yenyewe na vyombo vya Dola pia.
Kuna wakati najiuliza, hivi hii ni jamii Gani inayoogopa waovu kiwango hiki?
Ni kweli sitetei matumizi ya nguvu na kutofuata sheria, lakini ukweli ni kwamba, jamii ya Arusha, kwa sehemu kubwa ni jamii isiyozingatia maadili kabisa na ndo maana hata yanapofanyika matendo ya kijinai na uovu, bado utawaona watu wametulia tu na huoni kuteseka na kukereketwa kuzuia mambo ya kijinga ya viwango hivyo.
Kwa kuwa nimejitambulisha kama mtembezi, hapo ndo nawakumbuka watu kutoka kanda ya ziwa. " Jamii hailei mambo ya kijinga yaliyopitiliza kama yanayotendeka kwenye Jiji la Arusha.
Ni rahisi sana kushikwa na kutandikwa viboko hadharani na wananchi ukiwa baadhi ya maeneo kanda ya ziwa kwa sababu tu umetukana mama au mtu yeyote kinachoitwa matusi ya nguoni.
Kwa hiyo sitetei watu kuvunja sheria na kujichukulia sheria mikononi, lakini ukweli usemwe, " jamii haionekani hata kucahukia tu vitendo hivyo". Jamii ikianza kuonyesha hasira juu ya maovu na vitendo vyenye mwelekeo wa jinai, waovu na watu wanaojihusisha na mambo hayo wataogopa na kuacha au kuyafanya under cover na siyo waziwazi kama ilivyo.
Naiasa jamii ya Jiji la Arusha kubadili tabia na kuanza kuchukia aina ya matendo ya ovyo yanayoendelea jijini humo.
Kwa vyombo vya Dola, nashauri kuanza kufanya kazi zao nje ya mazoea.
Mazoea wanayofanya walinzi wetu wa amani, yatafanya jamii ianze kuishi bila kuogopa Sasa.
Uwepo wa majeshi huleta nidhamu katika jamii. Tatizo ninaloliona, uwepo wa majeshi ,Sasa unakuwa kama jambo la kawaida.
Hivi unawezaje ukiwa police, kupita mahali kwenye genge ambalo ukuta walioegemea au ukipenda kwenye kijiwe, kumechorwa picha za wavuta bangi na watu wanaovuta bangi na hata huulizi au kulazimisha magenge na vijiwe hivyo kutoweka?
Inawezekanaje ,kondakta wa gari anakutana na traffic police, wanamsikia kabisa ananuka bangi na bado hawawezi kumkamata na kumpeleka kituoni akajibu kwa Nini ananuka bangi?
Tukio lililotokea Jana la kuuawa wa kijana anayeitwa Ally Dangote, kwangu Mimi pamoja na kwamba kauawa lakini limekuja kwa kuchelewa. Kijana mwenye umri wa miaka 19 anawezaje kutamba kwenye jamii inayochukia uovu muda wote huo?
Inawezekana vipi mtu anasumbua na kuua watu hadharani Ili hali wananchi wanajua anakoishi, anachofanya na anapatikanaje? Police na vyombo vya Dola, vinawezaje kuacha mwovu anatamba karibu mwezi mzima akiua watu hadharani?
Nini maana ya uwepo wetu kama wananchi na vyombo vya Dola?
Wakati Fulani nilipatwa na taharuki nikiwa maeneo Fulani ya Jiji hilo.
Na ilikuwa hivi ," Kuna kijana mmoja aliyekuwa mwendesha pikipiki aliuawa kwa mazingira ya kugongwa na gari" sekeseke lilikuja siku ambayo kijana yule alikuwa anapelekwa mazikoni. Believe me, barabara ilichafuka. Pikipiki zilijaa barabara nzima kana kwamba mji umetekwa na boda boda, barabara ni zao na hakuna mwingine anayezitumia..
Ungewaona vijana wameshikilia chupa za pombe barabarani, wanakunywa pombe wakati wanaendesha pikipiki.
Ajabu ilifika mahali , wengine walikuwa wanabishana kwa maneno, hivyo wanachofanya ni kutelemka kwenye boda na wengine bajaji, wanapigana ngumi, huku magari ya abiria na watumiaji wengine wa magari wakiwa wanasubiri ugomvi uishe.
Pale nilipokuwa, nilishuhudia ugomvi unaisha wenyewe kwa wao kujiamua.
Sikuoni raia hata kulalamikia tu, waendesha magari wako kwenye magari wanasubiri nao bodaboda wamalize ugomvi wao.
Mbaya zaidi hakuna police waliokuja kuondoa hiyo bughudha, achilia ukweli kwamba kituo Cha police kilikuwa kama mita 200 tu kutoka eneo la tukio na magari yenyewe yalikuwa msururu mpaka eneo la kituo.
Hebu nambie katika mazingira hayo, huu uovu haujaruhusiwa?
Watu wa Arusha ni waoga hata kukemea tu ujinga. Wanajifanya wako busy kutafuta pesa. Wamejaa ulevi wa kutafuta Mali ambazo zinaibwa kijinga na watu wanaowalea kwa kuruhusu tambia mbaya kutamalaki.
Vyombo vya Dola na hasa police, woke up please.
Huu mji Sasa unataka aina nyingine ya ku curb criminality ambayo naiona inanyemelea mji huu.
Huu mji unataka psychology ya askari kubadilika Sasa. Huu mji unataka upolisi hasa na siyo kucheza na viashiria vya uhalifu.
Magenge yaliyotapakaa Kila mahali kama vijiwe yachunguzwe na yapigwe marufuku.
Unywaji wa mapombe usio na mipaka unazaa uharifu uliyopitiliza kwa kudhani Hawa ni walevi tu.
Yuko wapi RPC wa aina ya Kombe miaka ile? We need a serious police force , if at all, we want to defeat the rampant criminality hovers the city of Arusha.