Majengo na ngarenaro hakuna ukaribu ni mbali kabisa...ngarenaro yenye chuo cha SUA ni ipi...acha uwongo wa kitoto wewe hujawahi kufika arusha labda ulifika kwa ndotoNimekaa sana majengo mapya karibu na ngarenaro mitaa ya chuo Cha sua.
Nimekaa Ngara mtoni.
Nimekaa Arumeru .
So Arusha naijua Sana Zaid ya Sana.
Hapo umemaliza kila kitu 👏👏 wanashangaa mbona sisi tuko na life letu 😄 kama wanaumizwa si wabaki kwenye mikoa yaoArusha huwa inaonewa wivu na miji mingine sababu ya mila na desturi zake kuwa za kipekee sn.
Arusha ina icon yake East Africa tangu zamaniHapo umemaliza kila kitu 👏👏 wanashangaa mbona sisi tuko na life letu 😄 kama wanaumizwa si wabaki kwenye mikoa yao
Unashangaa wakenya wanavofungua magroup huko ya kuja kuitembelea Arusha anatokea mlugaluga mmoja huko anaandika mji umejaa "uharifu" hawajui hata kuandika neno uhalifu na lafudhi yake ya kingosha 🤣 wanatuletea ujuaji kwenye mji wetu wa kitalii wakae kwao huko huko😄😄Arusha ina icon yake East Africa tangu zamani
Watanzania wengi wamezoea culture ya uoga wakija Arusha life liko tofauti kabisa ndio wanapochanganyikiwa🤣🤣Nyie ni WAOGA SANA
Arusha ni mji salama sana
Wengine wanahadithia tu habari za Arusha kwa kusikia au kishabiki hapa hata hawajawahi kufikaNyie ni WAOGA SANA
Arusha ni mji salama sana
Hayo ni maneno tu ya kwenye kanga mliyozoea wavulana wa Dsmushoga umejaa arusha mno. Maana mnapenda kushobokea wazungu.
Wivu tu wanaona watalii wanaenda kaskazini hawana loloteHayo ni maneno tu ya kwenye kanga mliyozoea wavulana wa Dsm
Hebu nitajie Shoga hata mmoja tu wa Arusha
Naunga mkono hojaHuwa nakosa amani ninapokuwa nazunguka mitaani jijini Arusha.
Nadhani vijana wavuta bangi wamekuwa wazee na wamezaa watoto ambao pia ni wavuta bangi (ambao wengi ni bodaboda hivi sasa). Hivyo jamii nzima ya jiji hilo inavuta bangi.
Duuuh polee sana.Acha wiki mbili zilizopita niliporwa Kila kitu na boda niliyemkodi anipeleke mahali. Kwa kua alijihakikishia sijui niendapo akanipeleka chaka na kunipora huku kaniwekea kisu tumboni. Hakuniachia hata buku. Nashukuru hakunichoma kisu.
Arusha mbona amani tu? Hapa wananchi wanasubiria Iringa na Njombe zicheze nusu fainali ili mshindi akutane na Geita kwenye fainali ya kombe la mkoa wenye matukio ya kutisha.





Asante. Nikaja kuambiwa boda sio wa kukodi hovyo muda wa usiku ni majambazi. Nikajaribu kuomba msaada wengi waliniruka. Kuna Masai akanielewa na kunipa msaada.Duuuh polee sana.
Duuh Chuga ni hatari kwa kweli, LolAsante. Nikaja kuambiwa boda sio wa kukodi hovyo muda wa usiku ni majambazi. Nikajaribu kuomba msaada wengi waliniruka. Kuna Masai akanielewa na kunipa msaada.
Huyo kenge anasema Arusha kuna SUA? 🤣Majengo na ngarenaro hakuna ukaribu ni mbali kabisa...ngarenaro yenye chuo cha SUA ni ipi...acha uwongo wa kitoto wewe hujawahi kufika arusha labda ulifika kwa ndoto