Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 39,994
- 51,098
Chizi hili.Ha ha ha ha ha ha! Hii Sasa inanipa kujua kwa Nini unaitwa stroke.
Utakuwa ulipata stroke mahala na hasa kwenye ubongo wako.
Outdated =(adj), out of date, obsolete, similar to old fashioned, out of date.
Nimekusaidia kujua maana ya hilo neno .
Wewe unavyoona takwimu za mwaka 2021 ni za zamani kuliko za 2002-2003 unazoomba??