Arusha: Nassari, Heche na Bananga wahojiwa na polisi

Kwa upande wa Nassari aliwataka wamachinga kuendelea na biashara zao bila kuogopa vitisho vya halmashauri kuwataka Jumatatu waondoke mitaani.

Nassari alisema Atatoa Amri ya kumzuia J.K Kukatiza Arusha kwani yeye Ni Raisi wa Arusha Na Lema ni Waziri Mkuu.
Mbowe anatakiwa kumweka kijana huyu chini na kumfundisha namna nzuri ya kufanya siasa. Kuwa mbunge kusimpe kiburi akafikia hatua ya kutoa kauli kama hizi.

Well, kama kayaongea haya waziwazi, si vibaya akahojiwa tena akakemewa na kuachiwa. Atajifunza endapo atapewa karipio kali.

Tusishabikie kauli kama hizi, hazifai katika jamii yetu. Mtu anajitangazia utawala!? Mtu anahamasisha uvunjwaji wa sheria na kanuni za Halmashauri?

Labda kama aliongea tofauti na haya
 
Nimekubaliana na wewe sehemu zote ingawa baadhi ya sehemu nimekubali kwa shingo upande lakini kwenye nyekundu nasema hapana, hivi maisha yalivyo magumu leo unawaambia wamama waliko sokoni waondoke waende wapi?

Kama manispaa walitakiwa na kabla Lema akiwa mbunge walikusha kubaliana kuwa ikifikia wakati wa kufanya ukarabati maeneo ya soko kuu wafanya biashara waliko maeneo hayo wataonyeshwa sehemu ya kufanyia biashara kwa muda.

Leo Lema siyo mbunge wanatoa amri watu waondoke mbaya zaidi wanawaambia si mlikuwa mnashabikia Lema, maana yake wanafanyiwa hayo kwasababu wanamshabikia lema na manispaa kuna vijana wamefukuzwa kazi kisa walikuwa wana muunga mkono lema sasa kama Nasari akikaa kimya nani unataka awasemee....
 
Nimepita mitaa hapa mjini kila kona naona gari za polisi inaelekea intelejensia inaonyesha kinaweza kunuka...!?
 
Uwasilishaji wa hoja unaweza kumfanya mtu asielewe nini kilijiri.

Watu mliokuwepo ndo mnatakiwa kuandika kilichojiri kwa mapana.

I stand to ne corrected! Angalia nilichonukuu awalo, kina substance? Wapi imeonyeshwa kuwa machinga waliambiwa wanaadhibiwa kwa kuuchagua upinzani (Lema)? Yani, presentation inamfanya mtu moja kwa moja aone Nassari ana makosa makubwa (kama ikielezwa kwa ufupi sana)
 
Mbowe anatakiwa kumweka kijana huyu chini na kumfundisha namna nzuri ya kufanya siasa. Kuwa mbunge kusimpe kiburi akafikia hatua ya kutoa kauli kama hizi.

Well, kama kayaongea haya waziwazi, si vibaya akahojiwa tena akakemewa na kuachiwa. Atajifunza endapo atapewa karipio kali.

Tusishabikie kauli kama hizi, hazifai katika jamii yetu. Mtu anajitangazia utawala!? Mtu anahamasisha uvunjwaji wa sheria na kanuni za Halmashauri?

Labda kama aliongea tofauti na haya

Labda tusubiri uchunguzi wa polisi.Kitu kingine ni kwamba polisi hatuna imani nao kwani mara nyingi wamekuwa wakibambikia kesi viongozi na wafuasi wa chadema

Hata hivyo ni kweli viongozi wetu ni lazima watufunde vijana katika harakati hizi.The consequences of unguarded utterrence, so far, have been an upsurge in political intolerance, violence, assassinations, abductions and finally will intrigue stock piling of arms. Also it is of a grave concern to the party.Reckless and divisive utterances of some prominent politicians should be checked. Tatizo lipo katika tafsiri na polisi wetu unavyojua ni watu wa kutafuta sababu ndogo tu kutoka kwa watu wa chadema na hata kubambikizia watu kesi

Kama walivyochakachua maneno ya Slaa aliyosema kwamba tunampa mkuu wa wilaya geita siku 10 awaachie viongozi na wanachadema waliokamatwa,la sivyo tutawashughulikia kwa mujibu wa sheria...

Polisi wakakurupuka na kutoa madai mengine kabisa.Sina imani nao...

Kuna akina lusinde waliotishia kupiga watu,kuna wahalifu waliojaribu kufanya mauaji ya wabunge wetu kule Mwanza.Hizi double standard za polisi zitakuja kuligharimu taifa baadae
 
Hao polisi wangekuwa kila mara wanawaita wezi na mafisadi kuwahoji na kuwachukulia hatua zamani ningerudisha kadi yangu ya CDM. hawa wezi na mafisadi wanaoitafuna nchi hii ndiyo wanataka kutupeleka kwenye vita ya sisi wenyewe kwa wenyewe.

Lakini badala yake ni polisi na 'umahiri' wao wa kutafsiri masuala ya siasa, hasa kauli za viongozi wa upinzani, sijui wamepata mafunzo wapi ya kutafsiri kauli hizo. Pambaff kabisa!!!!

hawana kazi za kufanya hao polisi?mbona kuna wezi wengi wakukamata mitaani!
 
Nimepita mitaa hapa mjini kila kona naona gari za polisi inaelekea intelejensia inaonyesha kinaweza kunuka...!?

Mkubwa!
Nakwambia hawa hawana sumu hata punje!
Na siyo nia yao kuwepo hapo ila ni utawala mbovu wa huyo endengenye ila ngoja ataondoka!
Huu utumwa kwa hawa mapolisiccm Mi nao haina muda kuisha.
 
Mkubwa!
Nakwambia hawa hawana sumu hata punje!
Na siyo nia yao kuwepo hapo ila ni utawala mbovu wa huyo endengenye ila ngoja ataondoka!
Huu utumwa kwa hawa mapolisiccm Mi nao haina muda kuisha.
Mkuu ngoja nikupe pole kwanza kwa kipigo mlicho pewa....Pili kama kesho machinga wakikinukisha nitaungana nao....

Ngoja nifatilie mechi ya SIMBA na Yanga nipungeze stress maana siasa za bongo duuuuuuuuuuuuuuuuu..
 
Andengenye anataka kuondoka Arusha akiwa amefanya booking mapema katika serikali ya chadema baada ya kusimamia kwa ukamilifu mauaji ya wananchi wasio na hatia January 5, 2011.

Hata kama ccm watasaidiwa na policcm kukabiliana na Chadema ukweli ni kwamba hawataweza kamwe kushinda nguvu ya umma. Bila shaka jana nyomi iliyomwagika tahrir square ya Arusha ilikuwa salamu tosha kwa ccm na vibaraka wake wote.

Mkuu naomba nimtee Kamanda wangu Andengenye hapo.. Unajua amehamishwa hapo kwa kupewa lawama toka kwa CCM hardcores kwa kusababisha CDM kufikia status walio nayo sasa hivi.. Utakumbuka wakati ule aliruhusu maandamano yale ya Arusha.. Kilichotokea Viongozi wa CCM Arusha (Millya atusaidie kwa hili) walishinikiza na ikatoka amri toka kwa IGP kuzuia maandamano.. Andengenye alikuwa anapigwa vita sana na ocd wa wilaya na mkuu wa upelelezi.. Hao ndio waliokuwa wasukaji majungu wakubwa..
 
Mkuu ngoja nikupe pole kwanza kwa kipigo mlicho pewa....Pili kama kesho machinga wakikinukisha nitaungana nao....

Ngoja nifatilie mechi ya SIMBA na Yanga nipungeze stress maana siasa za bongo duuuuuuuuuuuuuuuuu..

Kamanda wewe Yanga nini,naona utakuwa simba kama invisible maanake usingekuwa na moyo wa kuangalia hii mechi kama kipoozeo cha stress.Hata Mashabiki wa Yanga msiende huko mtaishia kupata stress zaidi.Kamanda Mnyika na Eric ongara hawataki kusikia mechi ya Leo.he he hee.....(nimetoka nje ya mada kidogo ili niwakwaze mashabiki wa yanga)

Nirudi kwenye topic: Matumizi ya nguvu kesho yataleta maafa Arusha.Polisi hawajifunzi kutokana na historia...
 
Nimepata habari ambazo siwezi kuzithibitisha kuwa kuna wananchi wameonekana wakinunua mafuta (peteroli) kwenye vidumu, huku haionyeshi ya kuwa wana miliki angalau boda boda.

bado haijaeleweka nia ya ununzi huo.
Ni vema police wakajua nafasi yao katika kuipreserve hii amani.
"bullet is a goob friend untill you treat it unfriendlly"
 
Sikuamini masikio yangu nipomsikia mheshimiwa mbunge wa arumeru nasari akitamka kuwa kaskazini itajitenga serekali isipokua makini. lakini mi naona nasari haya maneno hayajamtoka bahati mbaya ukifuatilia historia utakumbuka babu zake nasari walienda kuomba uhuru wao wenyewe yaani kua nchi ya meru. walikua hawataki serekali ya tanganyika na mheshimiwa mbowe nae ndiye supporter mkubwa wa majimbo. mi personally naona kauli Kama hizo lazima zikemewe sana na wabunge wa kaskazini wapate elimu kua hatakama waasisi wa chadema wako kaskazini haimaanishi Chama ni Mali ya kaskazini pls katika ukombozi lazima tuelezane ukweli!
 
Mhe Freeman Mbowe alisamama jana hiyo hiyo na kusema kwamba huo si msimamo wala sera ya chama. Ni vizuri tukubali kuwa bado Nasari anaihitaji mafunzo badala ya kutizama pale anapojikwaa.
 
Back
Top Bottom