Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,208
ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!

Dah aisee nimekaa Arusha ila kyna vitu vingi nimeviona vya ajabu sana! Mji maeneo mengi ni mchafu sehemu kubwa, nimeshangaa unavyopigiwa chapuo, sijaukubali kabisa, mitaa mingi ipo kiswazi mbaya, Unga Limited, Sombetini, Ngusero, Morombo, Ngarunero-eti wanaita kwa wajanja, Kisongo balaa yaani maeneo mengi yapo hovyo sana! Mji una vumbi baya sijawahi ona tangu nzaliwe bali Arusha! ! Machalii wake wengi naona ni wastaraabu labda kwakuwa sijaingia anga zao, kwa sasa narudi zangu Mtwara ila sidhani kama nitarudi Arusha! Sijapapenda kwakweli hata kama nikilipwa mshahara wa haja
Aviweze wapi? Ataishia tu grocery twa Kijenge.Acha kutoa Povu, Inawezekana umetembelea viwanja vya uswahilini. Pata mtu anayejua viwanja vya kimataifa chalii wangu!
ana hasira kwasababu hao jamaa walimsukutua mheshimiwa mbunge hadi kiuno kimekosa balance akisimama shurti ashike meza.Ulipokuja Ar wamekusukutua nini?. Mbona unangaka namna hiyo?.
we utakukua ulienda na kiswahili chako cha daa ukafikiri watakuwaza....huwa wanachukulia kuwa watu wa dar ni kasuku si wakiume si wakike wote wanasutana na hawana kitu, ujuaji kibao, wabinafsi!ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!