Arusha na silaha

Kama mnakumbuka kuna mwana JF alileta habari ya jamaa yake ambaye pia ni wa JF alifariki wakati bastola iliyokuwa kiunoni kufyatuka na kurarua tumbe wakati akiendesha gari

safety skills hana. ni bora waruhusiwe waliopitia mgambo pekee
 
mi nilidhani utasema igunga ndio kuna ushamba! rage.jpg
 
Vijana wengi wenye maisha Arusha wameyapata kwa mtutu (ujambazi), kwa hiyo lazima sasa wamiliki silaha ili wajilinde na majambazi au waliowasaliti wakati wa ujambazi wao.
 
Silaha ni muhimu sana pande hizi lasi hivyo wezi na majambazi watakua wageni wako kila siku. So kua na bastola sanasana kwa watu wa mererani ni kwaajili ya ulinzi binafsi, kua na beto kwa vijana wa ngalelo ni kwaajili ya matumizi yao binafsi ya kukabia au kuleta fujo mtaani ,kua na sime kiunoni kwa wamaasai ni kwaajili ya ulinzi pia .so kila mtu anakazi na silaha yake ,hata mimi ninakazi na yangu ukiniletea maniaje under reasonable circumstances ntakushughulikia ipasavyo.
 
Hongereni sana na endeleeni kuuana kama kuku. Kuna siku mtaacha tu.
 
jamani arusha ni kitu nyingine kama unafikiri natania njoo arusha unywe bia zako ulete za ki darisalame uone maneno yako.

kule bwana hawatanii,nilishuhudia moja pale sakina jamaa waliingia kuchukua mauzo kwenye super market palikuwa hapatoshi.
wazee wa kazi walipopiga zao kumbe machalii nao wanazo.
dar ukipiga simu polisi wanakuja baada ya saa moja arusha polisi mpaka wahakikishe zimetulia wanaongeza masaa mawili ndipo wanakuja.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom