Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 762
juzi tu nimemiliki na jana kalikatiza kapanya nikakaopa ya kiuno ...nilikuwa natest
nitafute chali angu na nipo moshono st judes! Kama upo serious ni pm!Binafsi bado natafuta AK-47 ikiwa full magazin kwa gharama yoyote!
Ni ajabu sana kwani kila kijana anaejitahidi kimaisha ananunua silaha arusha.Hata wale wanaojiita wanaapollo wana silaha sasa mwaka ukipita hajapata Tanzaniate wanatumia silaha kuvamia na kuiba.
I don`t buy the idea kwamba kuwa na silaha ni maendeleo.......