Arusha na silaha

Watu kama hawa bana....ili mradi tu wote tujue na yeye anayo na anafahamiana na watoto wa vigogo...sisi hatutaki kujua yote hayo..hoja ni kwamba kwanini arusha umiliki wa silaha umekubuhu

Na anaweza akawa muongo vilevile...

Kama vipi,aattach certificate ya Police ya kumruhusu kuimiliki... Na si kazi ngumu,jina lake afiche... Kama yeye mwanaume kweli tutaona...!
 
Na anaweza akawa muongo vilevile...

Kama vipi,aattach certificate ya Police ya kumruhusu kuimiliki... Na si kazi ngumu,jina lake afiche... Kama yeye mwanaume kweli tutaona...!

atoe wapi hiyo leseni labda ya kisu.
 
Jamani huku Arusha karibu kila kijana mwenye maisha mazuri kiasi anamiliki bastola . Sijui kama kuna mkoa watu wanamiliki silaha kama huu . Ni kwanini inakuwa hivi ? Nipe sababu zako.

Me baada ya kuona vavamia inazidi nikajiagazia hiii kitu hapa kutoka kitaa,,,nasubiri waje niwalipue...

negev_2.jpg
 
mimi nathani ni kutokana na asili ya watu wa huko wanapenda silaha tu kwa kujihami mfano wamasai huko hutembea na sime muda wote
 
Mkuu umesahau upo Tanzania,, kila kitu rahisi rahisi tu hakuna linaloshindikana ukitaka wewe ingia tu kitaaa zipo tu tele.

hupewi hata ufanyaje mkuu wangu , hiyo ni silaha ya kivita . Labda uwe nayo kinyemela .
 
kkama asilimia kubwa wana miguu ya kuku halafu wewe utembee kiuno kitupu maisha yataenda kweli?kila siku utanyang'anywa mke.ili heshima iwepo kila mtu anatundika ya kwake kiunoni.

dah,kwasababu hii kumbe mi sina sababu ya kumiliki bastola kabisa as mi siamini kwenye 'kuibiwa' mke kabisa!mke au girlfriend sio wallet kwamba 'ataibiwa tu.anauziwa maneno,anachekelea anaondoka na mshikaji kwa hiyari yake mwenyewe,mi bastola ya nini sasa!!???
 
Ukijaribu kurusha vijana waa Arusha ni hatari sana , watakumaliza ukiona.
 
Nondo zinatumika kwa imani za kishirikina mkuu...sio kama mbinu za kujihami,isitoshe matukio kama hayo wahusika si wenyeji wa Mbeya zaidi si Watanzania

we lazima huishi mbeya mkuu.Abelli wa Airport msafwa wa hapahapa town na alikuwa kama mwalimu wao.siku hizi sio tu ushirikina,watu wanjilinda nazo vizuri kabisa japo polisi wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumaliza hilo tatizo!
 
hizi nazo walikuwa nazo walejamaa waliokamatwa njiro



8617285-close-up-of-toy-grenade-on-white-background.jpg
2623327-hand-grenade-isolated-over-a-white-background.jpg
7680404-3d-render-of-a-fragmentation-hand-grenade-mk2-isolated-on-white-background.jpg
12069201-close-up-of-toy-grenade-isolated-on-a-white-background.jpg
 
Back
Top Bottom