Arusha na mtoko wa raba

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau,

Hii nimeishuhudia sana Arusha hasa sehemu za Tengeru kwenda mbele. Utakuta mama kaualamba vizuri kweli mfano gauni zuri, au dila, su sketi ndefu nzuri au suruali pana ya heshima.

Utakuta wengine wanafunga na kanga, ukweli wanapendeza sana mama zetu hadi raha. Cha kuvutia zaidi hawapendi ongea kiswahili. Sasa utakuta chini anapiga na raba haijalishi nimtoko, kikazi au dharura.

Naombeni maoni yenu
 
Mimi nilichhona ni vijana wa sikuhizi cwanapenda trainers mno unakuta mtu ana pair 5 za trainers na pair mbili za viatu pair moja sanders
 
Weka heading vizuri, natambua halikuwa lengo lako kuandika hivyo ila hizi smart phone hizi ndio tatizo kuu.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
baridi na vumbi ndo maana wanavaa iyo mikato lakini pia ni wasafi ukute dada wa kimbulu kakusugulia ndala na sufuria full. kuumizana macho unaogopa hata kuingia nayo toilet
 
Back
Top Bottom