Arusha na CHADEMA yao, Lema na wahuni wake

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
3,936
Reaction score
2,807
Wakuu Wana Waumini Wa Mabadiliko Ya Kweli Na Uhuru Wa Kweli

Mie Binafsi Kama Mzawa Na Mkazi Wa Arusha Ni Mumini Wa Mabadiliko Na Hiv Ndivyo Ilivyo Kwa Wengi Ndani Ya Mkoa Huu

Japo Tuna Bahat Mbaya Lakini Hatukati Tamaa Mwaka 1995 ulimchagua Makongoro Atuwakilishe Dodoma Ila Tukajajua Kuwa Makongoro Ni Muhuni Tu Tukajikuta Tunarejea Ccm Lakini Mwaka 2010 tukamwona kijana aloonyesha ni mwana mapinduz yakweli Godbles Lema Bila Ajizi Tukamchagua Sasa Tumekuja Kuona Kuwa Naye Ni Kama Makongoro Tunahitaji Mbunge Kama Lisu Au Mnyika Ccm No Arusha Hom Boy Wetu Kinana Anajua Ila Tunataka Mbunge Bora Ndani Ya Chama Bora.
 
Leo mnamkana Kamanda mwenzenu kisa tu amesema ukweli kuhusu Profesa LEMA?
Hali halisi ndio hii, na mawazo ya Hijja Madava ndio mawazo ya kila mwana Arusha mjini.
CHADEMA tuondoleeni hii takataka hapa mjini kwetu!!

Msalani habar yako Kaka
 
Last edited by a moderator:
Leo mnamkana Kamanda mwenzenu kisa tu amesema ukweli kuhusu Profesa LEMA?
Hali halisi ndio hii, na mawazo ya Hijja Madava ndio mawazo ya kila mwana Arusha mjini.
CHADEMA tuondoleeni hii takataka hapa mjini kwetu!!
Moto ni ule ule ulio wanyonyoa chadema na Arusha ni sawa na samaki na maji.. Hakuna Ccm Arusha
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Wana Waumini Wa Mabadiliko Ya Kweli Na Uhuru Wa Kweli

Mie Binafsi Kama Mzawa Na Mkazi Wa Arusha Ni Mumini Wa Mabadiliko Na Hiv Ndivyo Ilivyo Kwa Wengi Ndani Ya Mkoa Huu

Japo Tuna Bahat Mbaya Lakini Hatukati Tamaa Mwaka 1995 ulimchagua Makongoro Atuwakilishe Dodoma Ila Tukajajua Kuwa Makongoro Ni Muhuni Tu Tukajikuta Tunarejea Ccm Lakini Mwaka 2010 tukamwona kijana aloonyesha ni mwana mapinduz yakweli Godbles Lema Bila Ajizi Tukamchagua Sasa Tumekuja Kuona Kuwa Naye Ni Kama Makongoro Tunahitaji Mbunge Kama Lisu Au Mnyika Ccm No Arusha Hom Boy Wetu Kinana Anajua Ila Tunataka Mbunge Bora Ndani Ya Chama Bora.
Tanua Ubongo Kabla ujapanua mdomo
 
Subiri matusi kutoka kwa wanywa viroba wa Arusha.
 
Leo mnamkana Kamanda mwenzenu kisa tu amesema ukweli kuhusu Profesa LEMA?
Hali halisi ndio hii, na mawazo ya Hijja Madava ndio mawazo ya kila mwana Arusha mjini.
CHADEMA tuondoleeni hii takataka hapa mjini kwetu!!
Tarifa Nilizozipata nilipoingia Moshi leo Kikazi Nasikia Ccm Arusha nichama chama Mongo.. Sasa pale ccm wilaya wewe unaendaga kudeki?
 
Last edited by a moderator:
Subiri matusi kutoka kwa wanywa viroba wa Arusha.

Kama Hicho Ulichojipinda nacho hapo kwenye kona? Usipotumia hicho kitu kiwanda kitakosa mapato mengi sana maana ndio kinywaji chako nakujua sana
 
Leo mnamkana Kamanda mwenzenu kisa tu amesema ukweli kuhusu Profesa LEMA?
Hali halisi ndio hii, na mawazo ya Hijja Madava ndio mawazo ya kila mwana Arusha mjini.
CHADEMA tuondoleeni hii takataka hapa mjini kwetu!!

Utaendelea kuwa chini ya usimamizi wa chadema na Lema mpaka kiama!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Wana Waumini Wa Mabadiliko Ya Kweli Na Uhuru Wa Kweli

Mie Binafsi Kama Mzawa Na Mkazi Wa Arusha Ni Mumini Wa Mabadiliko Na Hiv Ndivyo Ilivyo Kwa Wengi Ndani Ya Mkoa Huu

Japo Tuna Bahat Mbaya Lakini Hatukati Tamaa Mwaka 1995 ulimchagua Makongoro Atuwakilishe Dodoma Ila Tukajajua Kuwa Makongoro Ni Muhuni Tu Tukajikuta Tunarejea Ccm Lakini Mwaka 2010 tukamwona kijana aloonyesha ni mwana mapinduz yakweli Godbles Lema Bila Ajizi Tukamchagua Sasa Tumekuja Kuona Kuwa Naye Ni Kama Makongoro Tunahitaji Mbunge Kama Lisu Au Mnyika Ccm No Arusha Hom Boy Wetu Kinana Anajua Ila Tunataka Mbunge Bora Ndani Ya Chama Bora.

Hujui lema alichofanya na akili zako ziko finyu mno kias kwamba kama unalelewa na mke wk utaendeshwa sn na utakuwa umeolewa ww yaan hunaupeo wa kufikir bal kutumia akil.za watu,
Ila siwez kukulaum sn ndo akil zako zilipofikia hapo, ujasir wa mikoa mingine na kuhitaj mabadiliko yametokana na lema na ukomboz wa kwl utaanzia Arusha pia uchaguz zinapotokea huwa wanaangalia wanaarusha watafanya nn tz nzima.
 
Uzi huu utashangiliwa sana na wanywa viroba wa Lumumba plus mamluki wao Association of Criminals in Tanzania... Arusha Lema ni Rais ... kama ilivyo Mbeya Rais ni Sugu ...
 
Back
Top Bottom