ARUSHA: Mtoto wa miaka 4 Anajisiwa na kisha kuuawa kwa kuvunjwa shingo

Mungu wangu jamani mtoto anafanyiwa ukatili wa aina hiyo Mungu amtokee huyo aliyefanya kitendo hicho na apewe adhabu isiyoneneka
Mungu ameshindwa kumuonea huruma mtoto wakati anasokomezwa dubuasha la jambazi kabla ya kuchinjwa sasa atapata wapi muda wa kumshughulikia muuaji?

Haya ma imani haya, daah, tunafundishwa jinsi ya kumuingiza Mungu kwenye matukio, tukio zuri tunasema Bwana kafanya, tukio messy tumekuwa brainwashed kwamba the only face saving way ya kumchomeka Mungu hapa ni kusema aje ku clean up the mess, kwani Mungu hakuwepo wakati panaharibika? Amekaa tu anaangalia kama movie?
 
Sasa chadema wanahusika vipi hapo....au wewe ulitaka wafanyaje...?hili ndio tatizo la wafia chama yani kila kitu unawaza tu kuingiza siasa...!
Wabunge ,madiwani na wenyeviti wa mtaa wa UKAWA wahakikishe usalama Wa wananchi Arusha
 
katoto ka watu jamani RIP, hilo jitu lilaaniwe mara 7 mara 70....likafe kifo cha aibu!
 
Mungu ameshindwa kumuonea huruma mtoto wakati anasokomezwa dubuasha la jambazi kabla ya kuchinjwa sasa atapata wapi muda wa kumshughulikia muuaji?

Haya ma imani haya, daah, tunafundishwa jinsi ya kumuingiza Mungu kwenye matukio, tukio zuri tunasema Bwana kafanya, tukio messy tumekuwa brainwashed kwamba the only face saving way ya kumchomeka Mungu hapa ni kusema aje ku clean up the mess, kwani Mungu hakuwepo wakati panaharibika? Amekaa tu anaangalia kama movie?
Huyo ni shaaatani sio Mungu kwanin usimlaumu Huyo aliyemchinja unamlaumu Mungu.
God is Good all the times.
 
Kuna taarifa kwamba watoto wawili wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka mitatu walinusurika kufa Chuo cha ufundi Arusha. Hayo yalitokea baada ya Uongozi wa chuo hicho kuwaondoa kwa nguvu wafanyakazi kwenye nyumba za chuo na kulazimu familia hizo kulala nje.

Kitendo kilichofanywa na uongozi wa chuo hicho kililaaniwa na wafanyakazi wa chuo hicho na wananchi wengi wa Mkoa wa Arusha. Wananchi wengi walidai kwamba hata kama wafanyakazi hao walikuwa wameua mtu hawakustahili kufanyiwa unyama huo ambao pia ulitesa hata watoto wasiokuwa na hatia na kuhatarisha maisha ya watoto hao.
 
Back
Top Bottom