ARUSHA: Mtoto wa miaka 4 Anajisiwa na kisha kuuawa kwa kuvunjwa shingo

Donatila

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Messages
3,092
Likes
4,071
Points
280
Age
28
Donatila

Donatila

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2014
3,092 4,071 280
Mtoto wa miaka minne amenajisiwa na kuvunjwa shingo kisha kutupwa kandokando ya njia ya watembea kwa miguu karibu na mfereji wa maji umbali wa mita 50 kutoka nyumbani kwao jijini Arusha.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Yusuf Ilembo, tukio hilo lilitokea saa 3.30 usiku kwenye makaburi ya baniani Kata ya Unga Limited.

Kaimu Kamanda wa Polisi Ilembo Arusha amesema kuwa mtoto huyo ambaye kwa sasa ni marehemu alikuwa akicheza na wenzake nje kidogo ya nyumbani kwao na ilipofika saa 12 jioni kwa mujibu wa marafiki zake (majina yamehifadhiwa) wanasema alifika mtu mmoja mwanamume mrefu.

Kwa mujibu wa watoto hao, mwanamume huyo alikuwa amevaa suruali na kumwambia mtoto huyo amfuate akamnunulie pipi na hapo ndipo alipomfuata huyo mwanamume huyo na hakurudi tena mpaka alipokutwa akiwa ameshauawa kikatili.

Wananchi wanaombwa kutoa taarifa pindi waonapo dalili za uovu katika maeneo yao kwa viongozi au kituo chochote cha polisi kilichopo karibu.

Chanzo: Dar 24
 
Tunzo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
3,073
Likes
1,115
Points
280
Tunzo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
3,073 1,115 280
Du! Masikini Tanzania yangu!
 
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
33,834
Likes
13,597
Points
280
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
33,834 13,597 280
Inasikitisha sana....

Makaburi ya Banian kule huwa kunaitwa Jambazi Road au chinjachinja road...
 
Power to the People

Power to the People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2007
Messages
1,200
Likes
253
Points
180
Power to the People

Power to the People

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2007
1,200 253 180
Scum of the earth, going round abusing and killing children
 
N

nsereko m

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
3,020
Likes
2,140
Points
280
N

nsereko m

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2015
3,020 2,140 280
innalillah wainnah illah rajjiun.
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,201
Likes
47,981
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,201 47,981 280
Mwenyenzi Mungu turehemu.
 
upendodaima

upendodaima

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Messages
2,959
Likes
2,191
Points
280
upendodaima

upendodaima

JF-Expert Member
Joined May 23, 2013
2,959 2,191 280
Tuwalindeni watoto wetu jamani.
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,899
Likes
1,379
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,899 1,379 280
Mungu wangu jamani mtoto anafanyiwa ukatili wa aina hiyo Mungu amtokee huyo aliyefanya kitendo hicho na apewe adhabu isiyoneneka
 
bushland

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Messages
6,485
Likes
4,238
Points
280
bushland

bushland

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2015
6,485 4,238 280
Yesu wangu nife au nibaki?
 
Ciprofloxacin.

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Messages
1,428
Likes
2,149
Points
280
Ciprofloxacin.

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2015
1,428 2,149 280
Tanzania ina laana kabisa Kwa mambo yanayoendelea nchini, siyo bure, taifa hili halina Mungu.
 
Sharif

Sharif

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2011
Messages
2,474
Likes
1,659
Points
280
Sharif

Sharif

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2011
2,474 1,659 280
kwa njaa hii wengi watakua washirikina.
 
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
21,210
Likes
15,053
Points
280
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
21,210 15,053 280
Then tunalalamika kuwa wazungu, wahindi na waarabu ni wakatili. Wakati TZ tunabaka bibi, tunanajisi vichanga na watoto, tunakata viungo vya albino. We're cursed to say the least....inaudhi sana!!
 
MATHIAS KABYEMERA

MATHIAS KABYEMERA

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
1,800
Likes
448
Points
180
MATHIAS KABYEMERA

MATHIAS KABYEMERA

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
1,800 448 180
Mungu yupo!
 
S

shun pun

Member
Joined
May 21, 2016
Messages
10
Likes
2
Points
5
S

shun pun

Member
Joined May 21, 2016
10 2 5
Mtoto wa miaka minne amenajisiwa na kuvunjwa shingo kisha kutupwa kandokando ya njia ya watembea kwa miguu karibu na mfereji wa maji umbali wa mita 50 kutoka nyumbani kwao jijini Arusha.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Yusuf Ilembo, tukio hilo lilitokea saa 3.30 usiku kwenye makaburi ya baniani Kata ya Unga Limited.

Kaimu Kamanda wa Polisi Ilembo Arusha amesema kuwa mtoto huyo ambaye kwa sasa ni marehemu alikuwa akicheza na wenzake nje kidogo ya nyumbani kwao na ilipofika saa 12 jioni kwa mujibu wa marafiki zake (majina yamehifadhiwa) wanasema alifika mtu mmoja mwanamume mrefu.

Kwa mujibu wa watoto hao, mwanamume huyo alikuwa amevaa suruali na kumwambia mtoto huyo amfuate akamnunulie pipi na hapo ndipo alipomfuata huyo mwanamume huyo na hakurudi tena mpaka alipokutwa akiwa ameshauawa kikatili.

Wananchi wanaombwa kutoa taarifa pindi waonapo dalili za uovu katika maeneo yao kwa viongozi au kituo chochote cha polisi kilichopo karibu.

Chanzo: Dar 24
Kwang mm mwenye mtoto nahis main yananikata tu
 
Forum statistics

Threads 1,237,103
Members 475,401
Posts 29,278,320