Kwa hiyo hawataki kuhamishiwa NMC...??
Nasikia Kamanda Lema majuzi alikuwa na mkutano. Aliwalaumu Machinga kwa usaliti, kwamba walikubaliana na aliyekuwa Mbunge-Lema kutohama hadi watengewe eneo na kuwa eneo walopewa ni dogo, halina huduma muhimu na ni tindiga, mvua ikinyesha maji yanapanda juu.Kulikuwa na issue gani hapo??
Kwa wale walio karibu na soko la kilombero hapa Arusha tunaomba mtujuze kwa kina kinachoendelea hapo maana rafiki yangu kaniambia kuna mtifuano mkubwa sana wa wamachinga wamevamia na kubomoa uzio uliojengwa wakipinga kuhamishiwa nmc
Kuna mtu kanidokeza kwamba shule ya Arusha Sec, wameandika barua ya kupinga hilo soko karibu na shule yao,kwani wanashindwa kusoma kwa ajili ya kelele.