Mdundulizaji
Senior Member
- Mar 12, 2012
- 194
- 24
HUU NI UWONGO MKUBWA!Niko hapa Kilombero hivi sasa ikiwa ni zaidi ya masaa matatu tangu uvamizi huo ufanywe; hali ni shwari kabisa na HAKUNA RISASI hata moja iliyopigwa; wamachinga wanaendelea kugawana maeneo kwa amani na mshikamano wa hali ya juu!

