Watawala wetu wakiambiwa kuna siku nji hii haitatawalika wanakuja juu, wanakuwa wepesi wa kuropoka na vitisho kede kede!! je kitendo hiki kinaashiria nini kwa nji yetu???!!!
Ukitaka amani pigania haki; mother Tanzania is at the cross roads to either amargeddon or prosperity;
Watawala wetu msipende kusikia yanayowafurahisha tu, mnao wajibu kwa umma kushughulikia na yasiyowapendeza pia.
Acheni kuwa kama Mitt Romney mgombea uraisi wa Marekani 2012 na dhana zake za "the 47%; I have nothing to do with those!!"