Arusha: Mti umekauka, wananchi waomba wahusika waukate kabla haujaleta Madhara makubwa

Mti huu upo pale Arusha eneo linaitwa Mezaluna Kijenge, chini ya Gran Melia Hotel au Juu ya Impala Holet, hilo eneo ni kituo cha mabasi yanayoenda Nairobi(Shuttles).

Mti umekauka sana kiasi cha kuanza kuangusha matawi na kuleta taharuki, wananchi wamejaribu kuomba wahusika waukate lakini wamekaa kimya, wanadhani wanasubiri ulete maara ili iundwe tume wapige pesa.

Chini ya huo mti kuna mgahawa watu wanajipatia mahitaji yao ya chakula, pia kuna nyaya za umeme mkubwa unaoelekea Kijenge hadi Usa River.

Magari pia yanapaki jirani na mti hu0. Utaua watu.
Ndugu Mteja!
Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora
Jina
Namba ya simu
Mkoa
Wilaya
Eneo
Namba ya meter
Tatizo
makao makuu 0748550000
 
Sidhani kama wewe kweli ni msemaji wa TANESCO.
Kama picha zinavyoonesha huo mti upo katika hifadhi ya TANESCO ambao ndio wana jukumu la kulifanyia ukaguzi/ usafi kwa upana wa Mita 5 kila upande.
 
Mti huu upo pale Arusha eneo linaitwa Mezaluna Kijenge, chini ya Gran Melia Hotel au Juu ya Impala Holet, hilo eneo ni kituo cha mabasi yanayoenda Nairobi(Shuttles).

Mti umekauka sana kiasi cha kuanza kuangusha matawi na kuleta taharuki, wananchi wamejaribu kuomba wahusika waukate lakini wamekaa kimya, wanadhani wanasubiri ulete maara ili iundwe tume wapige pesa.

Chini ya huo mti kuna mgahawa watu wanajipatia mahitaji yao ya chakula, pia kuna nyaya za umeme mkubwa unaoelekea Kijenge hadi Usa River.

Magari pia yanapaki jirani na mti hu0. Utaua watu.
Madhara ni fursa kwa kundi fulani
 
Nchi hii taasisi za Umma ni viziwi na vipofu, hivi hawa wanataka nini zaidi ambacho hakikasemwa hawana Ofisi zao Arusha?
 
Mti huu upo pale Arusha eneo linaitwa Mezaluna Kijenge, chini ya Gran Melia Hotel au Juu ya Impala Holet, hilo eneo ni kituo cha mabasi yanayoenda Nairobi(Shuttles).

Mti umekauka sana kiasi cha kuanza kuangusha matawi na kuleta taharuki, wananchi wamejaribu kuomba wahusika waukate lakini wamekaa kimya, wanadhani wanasubiri ulete maara ili iundwe tume wapige pesa.

Chini ya huo mti kuna mgahawa watu wanajipatia mahitaji yao ya chakula, pia kuna nyaya za umeme mkubwa unaoelekea Kijenge hadi Usa River.

Magari pia yanapaki jirani na mti hu0. Utaua watu.
serikali za mitaa diwani polisi mkuu wa mkoa wilaya wote hao wanangoja uangukie watu wafe wegi alafu mama samia akatoe hela ya kusafirisha maiti na kuzika wateule wa mama samia hawana uwezo wa kuzia hatari kabla
 
picha ya mti ingekuwa haijawekwa watu mngedai bila picha hamchukui hatua. Sasa tangazo lina kila kitu, sijui mtakuja na kisingizio kipi
 
Mti huu upo pale Arusha eneo linaitwa Mezaluna Kijenge, chini ya Gran Melia Hotel au Juu ya Impala Holet, hilo eneo ni kituo cha mabasi yanayoenda Nairobi(Shuttles).

Mti umekauka sana kiasi cha kuanza kuangusha matawi na kuleta taharuki, wananchi wamejaribu kuomba wahusika waukate lakini wamekaa kimya, wanadhani wanasubiri ulete maara ili iundwe tume wapige pesa.

Chini ya huo mti kuna mgahawa watu wanajipatia mahitaji yao ya chakula, pia kuna nyaya za umeme mkubwa unaoelekea Kijenge hadi Usa River.

Magari pia yanapaki jirani na mti hu0. Utaua watu.
Lema anakuja kuukata tarehe 27/02/23. Hao viongozi wa ccm mlio nao hamna kitu
 
Kwakuwa umeshakauka utakuwa unadondoka wenyewe taratibu kutokea juu kushuka chini
 
Back
Top Bottom