Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Bora hao wamenunua. Mkapa aligawa bure Chuo cha Tanesco Morogoro kwa waislam, sasa ni Chuo Kikuu cha Kiislam.
mkuu hii shule ilishauzwa siku nyingi na michango ya kuwalipa walio kuwa wamiliki ilianza mwaka jana hivyo hii siyo tetesi labda bei tulioinunulia sina uhakika na kiasi ulicho weka...tayari baadhi ya wanafunzi walishaanza kupelekwa edmund rice kwa kuwa kuna labs nzuri zaidi kwa wana funzi wa sayansi A level.[/QU hapana malipo ni tarehe 21
nipo bize radio imani,sensa,necta,uwiano wa madaraka,KaToLiKi oyeeeeeeeee.
M o U !
kila muumini alichanga alfu ishirini,kanisa katoliki wana hela sana na hela zao sio kwamba zipo bank,hapana wakitaka hela kiasi chochote wanawaambia waumini wao tunataka kununua kitu flani na kila mtu anatakiwa kutoa kiasi flani mpaka watoto ulionao nao watatoa.serekali inahangaika na sensa alakini kanisa linaidadi ya watu wake na sensa ni kila siku,kwani kila akifa mtu wanataarifa na akizaliwa wanataarifa.kanisa lina ndege serekali haina ndege,chezea kanisa wewe,kwa taarifa nikua st joseph,au shule ya secondary ya faza babu inakaribia kua university ndio maana hiyo shule ikanunuliwa ku replace ile ya kwa padri babu.[/UKO ZAWA KABIZA!
mkuu hii shule ilishauzwa siku nyingi na michango ya kuwalipa walio kuwa wamiliki ilianza mwaka jana hivyo hii siyo tetesi labda bei tulioinunulia sina uhakika na kiasi ulicho weka...tayari baadhi ya wanafunzi walishaanza kupelekwa edmund rice kwa kuwa kuna labs nzuri zaidi kwa wana funzi wa sayansi A level.[/QU hapana malipo ni tarehe 21
lakini sisi kanisa letu tulianza kutoa michango tangu mwaka jana...
lakini sisi kanisa letu tulianza kutoa michango tangu mwaka jana...[ ni vzuri lakin malipo bado hayafanyika. parokia yako ni wapi?
M o U !
Nyie nunueni tu lakini kipengele cha dini lazima kiwepo