Arusha: Mkutano wa CUF na Picha za matukio mbalimbali - Sept 30, 2012

Huo ndio mpango mzima. Kiongozi wa SUK Zanzibar pamoja na kiongozi mkuu wa chama kitaifa wanakwenda kufichwa katikati ya sokoni na stendi!
Hii wame copy na kupaste kutoka kwa mwandani wao ccm walivyofanya Iringa kuukimbia uwanja wa mwembetogwa.

Wasikilizie Jumanne jiji litakavyorindima baada ya Lema kutoka mahakamani.
Sultani asubiri kidogo hadi Jumanne ashuhudie kipenda roho cha wana Arusha.
 
ndo hizi

603615_3796830481154_1104467570_n.jpg

Hiyo gari kule Arusha na hiyo kanga waliyotundika hapo Mbele utafikii ndani wabebeba kikapuu tena mwanamke...
 
**** Mida nilipita na Mitaa ya Ofisi yao ya Wilaya pale Makao Kaloleni nikawasikia wakiongea wakisema na nukuu" Arusha hakuna watu? Mbona huku ambapo ni Ofisi ya Wilaya hatuoni watu?" ILA NILICHO KIPENDA NI JAMAA KWENDA KUFUNGUA OFISI YA WILAYA MITA CHACHE KUTOKA ULIPO MSIKITI WA KALOLENI hii ni Strategies nzuri sana inawalahisishia wanachama kazi ya Uhamasishaji
 
Bagarashia vipi na hijab ni kwa wingi?

Wengi ni wanaume, na walikuwa wamevaa kofia zenye rangi ya Bendera ya CUF, il si unjua hwa wenzetu mavazi yao yakoje, basi ndo hayo walikuwa wamevaa, japo wengine walivaa nguo zenye rangi ya bendera ya chama chao.
:high5:

 
Wasikilizie Jumanne jiji litakavyorindima baada ya Lema kutoka mahakamani.
Sultani asubiri kidogo hadi Jumanne ashuhudie kipenda roho cha wana Arusha.

Ha haa ..watajifunza Style ya kuwalaki viongozi wao.Kipindi cha uchaguzi uliomuingiza Lema nilibahatika katiza sehemu kubwa ya Mji niliona atmosphare ilivyokuwa Vibrant and Tense.Matokeo yalivyotanzwa ilikuwa kama Maji yamefunguliwa katk Dam, pikipiki ,magari, baiskeli na wakimbia kwa miguu walikuwa wakipishana kwa kasi ya ajabu ktk barabara nyembamba.Cha kushangaza asubuhi sikusikia majeruhi.Muziki wa CDM Arushautakuwa matched only mwanza na Mbeya hadi Tunduma.Ila si kwa urojo.
 
Wakuu katika wale wanachama wa CUF kutoka Dar wapo walio kiuwa wamevalia Suruali fupi sijajua kama ndo Sare za Chama au La ila hazikuwa zikifanana
 
Wakuu nipo uwanjan hapa maona vibarakashia tu.
Wapo ule uwanja lema alonguruma juzi kati,wapo watu kidogo na wengi wao ni wale waloletwa na mabasi. Kuna jamaa yupo jukwaani anaimba mashairi (SIO ANACHANA MISTARI),
watu wamekaa kimya hata wakipayuka kauli mbio yao HAKIII.
Let wait and see wht is going to happen.
 
HAKIIIIIIIIIIIIIIIII...........;CUF NGANGARIIIIIIIIIIIIIIIII..........

IGP MAHITA NAYE;POLISI NGUNGURIIIIIIIIIIIIII............

Ama kweli wakati ni ukuta........kupigana nao ngumi ni kuumiza mikono bure
 
Washaanza kuizodoa CDM,ila kila wanapoitaja watu wanapiga mayowe(uuuuwiii). sasa sijui wanamaanisha nini.
vibarakashia na watu wenye ndevu (mizuzu) nyingi ndio kibaaao.
 
Wakuu ndo niko Uwanja wa Mkutano, Watu ni wachache sana na wengi wao ni Wazee, naona Mashairi yanaimbwa na ukiwa mgeni unaweza fikilia kuna Swala ya Idi inaswaliwa hapo
 
Wakuu nipo uwanjan hapa maona vibarakashia tu.
Wapo ule uwanja lema alonguruma juzi kati,wapo watu kidogo na wengi wao ni wale waloletwa na mabasi. Kuna jamaa yupo jukwaani anaimba mashairi (SIO ANACHANA MISTARI),
watu wamekaa kimya hata wakipayuka kauli mbio yao HAKIII.
Let wait and see wht is going to happen.

kauli yako mujarabu, laiti ungekuwa na uwezo wa kupata kapicha, tuanze kuwatambua waliookotwa kwa mfuga mbwa, uwanja wa fisi, kwa mnyamani, hakika tutayabandika na majina yao kwa aibu zao!!!
 
Ukiona mwenzio ananyoa tiamaji kabisa kicha chako
Alianza Mrema na NCCR, akaja CUf na sasa ni zamu ya CDM
Lakini katika zama zote hizo sijawihi kuona chama kingine kikimponda upinzani mwenzake kama wanavyofanya CDM kwa CUF
 
Back
Top Bottom