Arusha: Mkutano wa CUF na Picha za matukio mbalimbali - Sept 30, 2012

ila mimi nawakubali sana CUF kwa maana si mliona mwaka 2000 na mwaka 1995? CUF wanakubalika katika jamii japo nao pia naona kama wana ka udini ila hawajaishinda M4C ,chadema wapo kidini zaidi wakifuatiwa na CUF ,binafsi nafuu wazee wa kuvua Gamba.

Hueleweki
 
Wakuu katika wale wanachama wa CUF kutoka Dar wapo walio kiuwa wamevalia Suruali fupi sijajua kama ndo Sare za Chama au La ila hazikuwa zikifanana

katika kitu wazenj hawajabarikia ni uvaaji nadhifu...hata mavazi yao huwa hayana mpangilio wa rangi au mishono ya kupendeza.Nimeona mara nyingi sana hata suti zao ni kama za makonda.Niliahi ona timu ya Wabunge toka visiwani Dar...hawa jamaa hawajajalia uvaaji.makanga yao yana rangi mbaya, wengine wamevaa jezi za timu,wengine wamevaa suti za kama za makonda na mchanganyiko wa rangi kama matu katupa vipande vya vitambaa sehemu halafu mtu akajizamisha humo.Kwa ujumla wanaonekana wachafu.
 

Wengi ni wanaume, na walikuwa wamevaa kofia zenye rangi ya Bendera ya CUF, il si unjua hwa wenzetu mavazi yao yakoje, basi ndo hayo walikuwa wamevaa, japo wengine walivaa nguo zenye rangi ya bendera ya chama chao.
:high5:


Unataka kuniambia wamevaa Kanzu na hijab..
 
Shauri yako...ngoja CUF Ngangari akusikie!


Nisemayo ni kweli, walikuwa wanapiga ngoma na kuimbwa zele nyimbo zinazoimbwa kwenye sherehe za iddi.
Kiujumla hawako kisiasa bali wako kiimani zaidi. Hii ndo maana watu wengi wanasema CUF ni chama cha waislam
 
Washaanza kuizodoa CDM,ila kila wanapoitaja watu wanapiga mayowe(uuuuwiii). sasa sijui wanamaanisha nini.
vibarakashia na watu wenye ndevu (mizuzu) nyingi ndio kibaaao.

Uwii ni kilio cha msiba au kuvamiwa na wezi au wanyama hatari, na kama CUF walikuwa na kosta iliyopambwa kama imebeba kikapu ndipo utajua ni vipi CUF wameingia kichkichwa kwa watu bila kujua gestures zao.Wamekuja kama wanakuja kwenye kilio,halafu wanafanya maetendo yanayowafanya waonekane kama wezi au wanyama wabaya waliokujakudhuru watu kam si kuleta balaa katk nchi.

Always wapo out of phase na mwenendo wa kisiasa katika nchi.
 

Attachments

  • Photo0022.jpg
    Photo0022.jpg
    36.4 KB · Views: 91
Back
Top Bottom