Arusha: Mkutano wa CUF na Picha za matukio mbalimbali - Sept 30, 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha: Mkutano wa CUF na Picha za matukio mbalimbali - Sept 30, 2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by yegella, Sep 30, 2012.

 1. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Leo nitawaletea kitakacho kuwa kinaendelea kwenye uwanja wa Levolosi kwenye mkutano wa CUF. kwasasa CUF walikuwa wanazunguka hapa mjini Arusha wakiwa na coasta zaidi ya 20 na pikipiki....
   

  Attached Files:

 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hayo siyo maandamano? Mbona CDM wanazuiwa?
   
 3. r

  raymg JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Picha ipo wapi....weka ushaidi wa hayo mandamano
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Tupia picha mkuu
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mkuu, haraka za nini? Kwa nini usisubiri muda wa mkutano ufike ndipo uanze kutupatia updates? Umejivua nguo hadharani mwenyewe!
   
 6. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Maandamano huwa ni kwa kutembea kwa miguu.
   
 7. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Mkuatno ulisha anza tangu jumapili iliyopita huu ni mwendelezo tu kama una wivu anzisha na wewe thread yako.
   
 8. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Subiri mkuu nitaweka kila kitu...
   
 9. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Siko kwaajiri ya kubishana nimesema nita ripoti kila kitakacho kuwa kina jili kwenye uwanja wa Levolosi.
   
 10. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Wapi still picture?
   
 11. G

  Gene Senior Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umekariri....... Na kampen anazofany obama si kampeni maana yeye hatumii chopper wala hatembei kwenye vumbi
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kumbuka ushauri si deni.
   
 13. G

  Gene Senior Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja tuwaone wazee wa DAR uwanja utajaa mahubiri yale yale ya REDIO IMAAN
   
 14. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Inawezekana sijakuelewa unataka kusema nini? ila nichokisema mimi kuwa kwa tafathili ya maandamano ni lazima ya husishe watembea kwa miguu. niko tayari kurekebishwa kama sijui maana ya maandamano.
   
 15. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Uchizi.....victory4chadema
   
 16. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu Yegella,
  Endelea kutuhabarisha kinachoendelea huko. Hizo Costa 20 ndio zile zilizotoka Dar au??

  TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
  tumbiri@jamiiforums.com
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,827
  Trophy Points: 280
  Yan hiyo live unaandika sasahivi lakini hata picha hatuoni!
   
 18. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,827
  Trophy Points: 280
  Zilitoka dar tangu jana! Kumbe nao wana mbinu zilezile za kubeba watu!

   
 19. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tunakusubiri mzee, naamini upo busy kutunga insha ukimaliza tutupie.
   
 20. G

  Gene Senior Member

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo hizi

  [​IMG]
   
Loading...