Arusha: Mkutano wa CUF na Picha za matukio mbalimbali - Sept 30, 2012

Mkuu, haraka za nini? Kwa nini usisubiri muda wa mkutano ufike ndipo uanze kutupatia updates? Umejivua nguo hadharani mwenyewe!

Hapana mkuu.Mwache jamaa atupe Live kuanzia sasa hivi.Mbona siku ya mkutano wa CDM Jangwani Live coverage ilianza saa 12 asubuhi?
 
ila mimi nawakubali sana CUF kwa maana si mliona mwaka 2000 na mwaka 1995? CUF wanakubalika katika jamii japo nao pia naona kama wana ka udini ila hawajaishinda M4C ,chadema wapo kidini zaidi wakifuatiwa na CUF ,binafsi nafuu wazee wa kuvua Gamba.
 
Mkuu unasema leo nitawaletea, maana yake hakijaanza kutokea, halafu unaandika live
 
Shemeji bwana,anataka kuja kujiaibisha Arusha!,mume ameshindwa yeye ataweza?.Nimekutana na maandamano yao maeneo ya posta Meru,kikundi kama cha watu 50,wanaonekana kama sio wenyeji wa Arusha!,na wengi wao wanaonekana ni wale ndugu zetu wa vibarakashia,CUF haitaweza kuleta umoja wa Watanzania kwa mtindo huu.
 
ila mimi nawakubali sana CUF kwa maana si mliona mwaka 2000 na mwaka 1995? CUF wanakubalika katika jamii japo nao pia naona kama wana ka udini ila hawajaishinda M4C ,chadema wapo kidini zaidi wakifuatiwa na CUF ,binafsi nafuu wazee wa kuvua Gamba.

Mkuu

Hivi bila kuingiza udin hatuwezi kuendesha mijadala?
 
Shemeji bwana,anataka kuja kujiaibisha Arusha!,mume ameshindwa yeye ataweza?.Nimekutana na maandamano yao maeneo ya posta Meru,kikundi kama cha watu 50,wanaonekana kama sio wenyeji wa Arusha!,na wengi wao wanaonekana ni wale ndugu zetu wa vibarakashia,CUF haitaweza kuleta umoja wa Watanzania kwa mtindo huu.
 
Acha kuharibu mjadala kwa kuandika mambo ambayo hayana msingi!
Back to topic! Kama huko Arusha tupe yanayojili mambo mengine haya tusaidii kwenye jukwaa la siasa!

ila mimi nawakubali sana CUF kwa maana si mliona mwaka 2000 na mwaka 1995? CUF wanakubalika katika jamii japo nao pia naona kama wana ka udini ila hawajaishinda M4C ,chadema wapo kidini zaidi wakifuatiwa na CUF ,binafsi nafuu wazee wa kuvua Gamba.
 
Leo nitawaletea kitakacho kuwa kinaendelea kwenye uwanja wa Levolosi kwenye mkutano wa CUF. kwasasa CUF walikuwa wanazunguka hapa mjini Arusha wakiwa na coasta zaidi ya 20 na pikipiki....

Kamanda yegella nadhani tutakuwa pamoja kwa ajili ya watu kupata picha zenye ubora kabisa na matukio mengine. NaPM sasa hivi kwa mawasiliano zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa nilizopata hivi punde ni kwamba walilala Mwanga na asubuhi hii wameanza safari kuelekea KIA eti kumpokea Maalim Seif Sharif Hamad ambaye atatua KIA muda mfupi tokea sasa.
Tunasubiri kwa hamu sana kuona shemeji zetu wanakuja na mpya gani.
Lakini tokea ijumaa walikuwa wakihamasishana misikitini eti wajitokeze kwa wingi kukiunga mno chama chao! Hahahahahaa we shall see.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kamanda yegella nadhani tutakuwa pamoja kwa ajili ya watu kupata picha zenye ubora kabisa na matukio mengine. NaPM sasa hivi kwa mawasiliano zaidi.

Nimeshapiga picha za maandano ya CUF na gari walizo kuja nazo ila nimesahau cable yangu nyumbani natafuta ustarab mwingine wa kuweza kuzirusha...
 
Kwa taarifa nilizopata hivi punde ni kwamba walilala Mwanga na asubuhi hii wameanza safari kuelekea KIA eti kumpokea Maalim Seif Sharif Hamad ambaye atatua KIA muda mfupi tokea sasa.
Tunasubiri kwa hamu sana kuona shemeji zetu wanakuja na mpya gani.
Lakini tokea ijumaa walikuwa wakihamasishana misikitini eti wajitokeze kwa wingi kukiunga mno chama chao! Hahahahahaa we shall see.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Coasta nani nimeziona kwa macho yangu tayari ziko Arusha kwenye ofisi zao pale kaloleni nina picha zake nitazirusha muda si mrefu...
 
ila mimi nawakubali sana CUF kwa maana si mliona mwaka 2000 na mwaka 1995? CUF wanakubalika katika jamii japo nao pia naona kama wana ka udini ila hawajaishinda M4C ,chadema wapo kidini zaidi wakifuatiwa na CUF ,binafsi nafuu wazee wa kuvua Gamba.

Hakuna chama cha kidini, hayo ni mawazo ya ki-magamba!
magamba ndio wanaeneza udini. Mimi najua Hakuna chama chochote cha siasa Tanzania ambacho kwenye katiba yake kinanadi udini. udini ni propaganda za CCM. chama kikipata kuungwa mkono na wananchi wengi wanakivisha udini, Mara ukanda Mara ukabila! jamani watanzania; achaneni Na udini utatuangamiza, hata CCM muasisi Wa udini haitabaki Salama!
 
Shemeji bwana,anataka kuja kujiaibisha Arusha!,mume ameshindwa yeye ataweza?.Nimekutana na maandamano yao maeneo ya posta Meru,kikundi kama cha watu 50,wanaonekana kama sio wenyeji wa Arusha!,na wengi wao wanaonekana ni wale ndugu zetu wa vibarakashia,CUF haitaweza kuleta umoja wa Watanzania kwa mtindo huu.

Nakushukuru mkuu kwa updates makini.
 
ila mimi nawakubali sana CUF kwa maana si mliona mwaka 2000 na mwaka 1995? CUF wanakubalika katika jamii japo nao pia naona kama wana ka udini ila hawajaishinda M4C ,chadema wapo kidini zaidi wakifuatiwa na CUF ,binafsi nafuu wazee wa kuvua Gamba.

Matapu tapu...
 
Ndo hizi

603615_3796830481154_1104467570_n.jpg

Dah! Hii Costa nimeshawai kuiona pale Biafra na kuna jamaa zangu walishawai kuikodi kusafirishia maiti kwenda Rombo!

TUMBIRI (PhD, University of HULL - HULL City),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Muda huu wamejikusanya hapa Kaloleni karibu na shule ya sekondari Kaloleni. Baadhi wanasikika wakisema bika haki hamna amani. Sijauelewa huu usemi wao. Ila sasa ndo naanza kuamini hawa ni CcmB kwani hata style zao za kuhama na wafuasi wao mkoa hadi mkoa ni sawa na za waume zao Ccm kupakia watu kwenye malori ili kumfurahisha boss wao kwamba chama kina watu. Siasa za maji taka hizi. Si wangewahutubia huko huko waliko watoa? Siku ya kura watawaleta Arusha?
 
Back
Top Bottom