NASISITIZA MATOKEO YA JIMBO LA ARUSHA MJINI BADO HAYAJATANGAZWA MPAKA SASA HIVI SAA 9:53,
Nipo Hapa eneo la Manispaa ya Arusha bado watu hapa ni wengi wanadai haki yao. Haijulikani Matokeo yatatangazwa saa ngapi
Ruta this is not true please. Ndiyo wanataka kutangaza rasmi. Na NEC walivyo bogas hawana hata update kwenye website yako...pumbavu kabisa 60Billion za uchaguzi wizi mtupu

Sasa Ruta nilikupa heshima, naona unataka kuipoteza, hata wewe unaanzisha post zenye mikia tu? si ungepeleka kwa Macha akatengenezee supu then utulie? mambo gani haya
Ruta this is not true please. Ndiyo wanataka kutangaza rasmi. Na NEC walivyo bogas hawana hata update kwenye website yako...pumbavu kabisa 60Billion za uchaguzi wizi mtupu
kama JWTZ wanaingilia uchaguzi kwa namna yeyote nini maana ya demokrasia sasa. Mimi nilienda Arusha karibuni na kwa mtu yeyote mwenye macho na masikio angeweza kujua kuwa Arusha ni jimbo la chadema. Hivi hata huyo mama akipewa ushindi kwa kuchakachua atakuwa na ujasiri wa kusimama na kusema jambo?:nono: Jimbo hilo CCm ikubali kuwa imeshindwa waache kutuletea umwagaji wa damu
...Kwani haya majimbo matatu NYAMAGANA, ILEMELA na ARUSHA MJINI yana nini mpaka watu watake kupoteza uhai wa Watanzania kwa kutaka kuyang'ang'ania?????
Fidel80 unajua leo mambo yako yako tu tunachanganyikiwa sana na hizi habari,sasa ukitwambia tupunguze kimuhe muhe sijui kama itawezekana maana tangu asubuhi watu tuko kwenye dilema hatuelewi mambo yanaendaje, mara usikie hili mara lile.
Sasa hawa wanaosema matilda kashinda wameyatoa wapi?
Mbona cmm waliokuwa wanadai kuna udini mara upinzani wanataka kumwaga damu leo hii wanatuonyesha nini sisi tuliopiga kura kwa upendo mkuu? Ccm acheni udidkteta mkishindwa kubalini?