Arusha: Mhubiri achomwa kisu kisa Kelele

Arusha: Mhubiri achomwa kisu kisa Kelele

Sina udini lakn pale neno la Mungu linapotangazwa Kama huguswi tulia tu, wenzako wanaguswa. Mbona wao wanaweka vipaza sauti juu kabisa ya msikiti na hatujawah sema tunachoshwa.
Kaka sio kila raia wa misri ni muislam, wakristo pia wapo
 
Nikuulize swali hivi unafahamu wale vijana wa muslim brother hood waliopigwa marufuku misri wafuasi wa Rais Mohamed Mursi? Bado wapo.

Raia mmoja wa misri amemchoma kisu mhubiri wa mitaani mkoani Arusha kwa kile alichodai kuchoshwa na kelele zake.

Muhubiri huyo maarufu mkoani hapa amekuwa akihubiri neno la Mungu mitaa, barabarani, stand za mabasi kuponya mioyo iliyopotea na kukata tamaa, kosa lake nini?

Tunalitaka jeshi la polisi mkoani hapa kuchukua hatua haraka maana haya mambo yapo kwao Misri na akitoka jela afukuzwe hapa chini.

USSR

====

Anord Mpobela kutoka huduma ya Caanan International Ministry, anayehubiri pia neno la Mungu katika mitaa ya jiji la Arusha, amechomwa kisu cha kiganja na mtu anayedaiwa kuwa ni raia wa Misri kwa kilichoelezwa kwamba mtu huyo amekuwa akichoshwa na kelele za Mhubiri huyo.

Tukio hilo limetokea Mei 9, 2023 katika eneo la barabara inayopandisha mtaa wa Jogoo House jijini Arusha.

Chanzo: EATV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina udini lakn pale neno la Mungu linapotangazwa Kama huguswi tulia tu, wenzako wanaguswa. Mbona wao wanaweka vipaza sauti juu kabisa ya msikiti na hatujawah sema tunachoshwa.
Kwani kuna sehemu mtoa mada kasema huyo Mmisri ni Muislamu??Punguza mihemko Mkuu.
 
Angemfukuza na panga kabisa. Hili suala nalo hadi NEMC waingilie?.. tumechoka makelele..

Biblia inatufundisha tusisali kwa kupayuka payuka kama wendawazimu. bali tutafute sehemu faragha na tulivu tuseme na muumba wetu

kila mtu ana uhuru wake.

Tuliaa
 
Mimi ni muislam lakin sijapenda how come mtu atoke kwao misri huko aje! Kutuletea ujinga wake si akafanye misri ujinga wake- sisi watuache tugombane wenyewe kwa wenyewe watanzania na sio rahis kuna vingi tu vinatuunganisha tutagombana kwa maneno tu
 
Hii ni kama comedy/horror movie,itakuwa muhubiri alimsogelea sana Jamaa,ila sio fureshi,
 
Sasa si anakufa then anatangulia mbinguni. Sasa shida ipo wapi hapo?
 
Ninachojiuliza ni kwa nini awe huyo mmisri na si raia wengine? Kwamba kero kwake ilizidi sana au??
 
Mimi sio mkristu wala muisilamu ila ninakerwa sana na makelele yao. Umetulia kwenye basi mara mtu anajitokeza eti anahubiri neno!! Mimi sijui kuwa Mungu ananipenda??
 
Wao na zile adhana zao hukurupukia watu asubuhi hadi kero, dini ya chuki na fujo, waendelee kuhubiriwa hata wakichinja wahubiri au kuwalipukia mabomu.
 
Back
Top Bottom