Arusha: Mhubiri achomwa kisu kisa Kelele

Arusha: Mhubiri achomwa kisu kisa Kelele

Ukiacha uislam sisi ni watanzania- hatupo hivyo
Hukujitambulisha kwa utanzania wako, umeweka uislamu wako kwanza ili kuwaonyesha watu jinsi ulivyo muislamu "progressive". Don't be ashamed of your religion. Live it, defend it.
 
Huu ni uvamizi katika ardhi ya Tanzania. Huyo m'Misri amewezaje kumshambulia raia na JWTZ wapo. Hili ni swala la kijeshi huyo apelekwe jeshini akapewe adhabu na Misri tupeleke majeshi maana huu ni uvamizi wa kivita kabisa.
 

Adhana moja maximum ni dakika tatu, kwa siku ni dakika 15 tu. Ila mahubiri yenu ni masaa matatu na zaidi

Kama mnataka fair, basi na nyie fanyeni mahubiri ya vipaza sauti kwa dakika tatu, kisha subirini masaa mawili mfanye mahubiri kwa dakika tatu nyingine , hivyo hivyo mpaka siku iishe!. Au la sivyo na waislamu nao wafanye mahubiri yao ya vipaza sauti kwa masaa matatu nonstop kama nyie!. Na ikifika Alhamisi wafanye mkesha wa mahubiri kama walokole usiku kucha kwa vipaza sauti!.

Uislamu una kiasi, uko well balanced!

Kuna watu hata kelele za sekunde moja zimetosha kutuvurugia usingizi, mbaya zaidi mnabwatuka Kiarabu hata bora muongee Kisukuma, huwa mna ujuha sana.
 
Nikuulize swali hivi unafahamu wale vijana wa muslim brother hood waliopigwa marufuku misri wafuasi wa Rais Mohamed Mursi? Bado wapo.

Raia mmoja wa misri amemchoma kisu mhubiri wa mitaani mkoani Arusha kwa kile alichodai kuchoshwa na kelele zake.

Muhubiri huyo maarufu mkoani hapa amekuwa akihubiri neno la Mungu mitaa, barabarani, stand za mabasi kuponya mioyo iliyopotea na kukata tamaa, kosa lake nini?

Tunalitaka jeshi la polisi mkoani hapa kuchukua hatua haraka maana haya mambo yapo kwao Misri na akitoka jela afukuzwe hapa chini.

USSR

====

Anord Mpobela kutoka huduma ya Caanan International Ministry, anayehubiri pia neno la Mungu katika mitaa ya jiji la Arusha, amechomwa kisu cha kiganja na mtu anayedaiwa kuwa ni raia wa Misri kwa kilichoelezwa kwamba mtu huyo amekuwa akichoshwa na kelele za Mhubiri huyo.

Tukio hilo limetokea Mei 9, 2023 katika eneo la barabara inayopandisha mtaa wa Jogoo House jijini Arusha.

Chanzo: EATV

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mfano mzuri sana, hawa watu wanaoendekeza dini za watu hapa nchini lazima washikishwe adabu huku mitaani tumewachoka, walitudanganya sana kufuata dini na mila za watu ambazo hazina mashiko yoyote kwetu Waafrika. #Tuwawinde hawa waendekezaji dini za maboti huku mitaani na kuwashikisha adabu pamoja na viongozi wao.
 
Back
Top Bottom