USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 11,721
- 27,820
Nikuulize swali hivi unafahamu wale vijana wa muslim brother hood waliopigwa marufuku misri wafuasi wa Rais Mohamed Mursi? Bado wapo.
Raia mmoja wa misri amemchoma kisu mhubiri wa mitaani mkoani Arusha kwa kile alichodai kuchoshwa na kelele zake.
Muhubiri huyo maarufu mkoani hapa amekuwa akihubiri neno la Mungu mitaa, barabarani, stand za mabasi kuponya mioyo iliyopotea na kukata tamaa, kosa lake nini?
Tunalitaka jeshi la polisi mkoani hapa kuchukua hatua haraka maana haya mambo yapo kwao Misri na akitoka jela afukuzwe hapa chini.
USSR
====
Anord Mpobela kutoka huduma ya Caanan International Ministry, anayehubiri pia neno la Mungu katika mitaa ya jiji la Arusha, amechomwa kisu cha kiganja na mtu anayedaiwa kuwa ni raia wa Misri kwa kilichoelezwa kwamba mtu huyo amekuwa akichoshwa na kelele za Mhubiri huyo.
Tukio hilo limetokea Mei 9, 2023 katika eneo la barabara inayopandisha mtaa wa Jogoo House jijini Arusha.
Chanzo: EATV
Sent using Jamii Forums mobile app