n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,537
- 7,255
Mahubiri ya kweli hutibua mandondocha, na wafuga majini. Kazi ya yehova iendelee.
Mkuu ndio wewe niniSasa unaenda kuhubiri kwenye maskio ya mtu si uchokozi huo, alafu unatumia ile sauti ya "jeeeoni ya leeoo"
Makelele hata mm siyapendi no matter whatNikuulize swali hivi unafahamu wale vijana wa muslim brother hood waliopigwa marufuku misri wafuasi wa Rais Mohamed Mursi? Bado wapo.
Raia mmoja wa misri amemchoma kisu mhubiri wa mitaani mkoani Arusha kwa kile alichodai kuchoshwa na kelele zake.
Muhubiri huyo maarufu mkoani hapa amekuwa akihubiri neno la Mungu mitaa, barabarani, stand za mabasi kuponya mioyo iliyopotea na kukata tamaa, kosa lake nini?
Tunalitaka jeshi la polisi mkoani hapa kuchukua hatua haraka maana haya mambo yapo kwao Misri na akitoka jela afukuzwe hapa chini.
USSR
====
Anord Mpobela kutoka huduma ya Caanan International Ministry, anayehubiri pia neno la Mungu katika mitaa ya jiji la Arusha, amechomwa kisu cha kiganja na mtu anayedaiwa kuwa ni raia wa Misri kwa kilichoelezwa kwamba mtu huyo amekuwa akichoshwa na kelele za Mhubiri huyo.
Tukio hilo limetokea Mei 9, 2023 katika eneo la barabara inayopandisha mtaa wa Jogoo House jijini Arusha.
Chanzo: EATV
Sent using Jamii Forums mobile app
Uislamu ni ushetani kuliko wale wachungaji wanaoua watu kwa kuwaambia wafunge hadi wafe au wale mapadri wenye skendo za ulawiti kule vatican!? Au ni ushetani kuliko yule papa anayelike picha za ngono instagram na kupromote ushoga!?
Nikumbushe wewe mimi siyajui,na uwe na uhakika tumeyaskia kwenye vyombo vya habari usije ukasema huku kwetu shinyanga sijui wapi! Tuambie kuna sheikh fulan kafungia watu na kuwachoma moto sehemu fulani ilisharipotiwa au kiongozi fulani wa waislamu ana skendo moja mbili tatu..Nipo hapa nakusikilizaUtakuwa umesahau mkuu, ebu jikumbushe maovu ya waislam
Hiyo habari haijitoshelezi kamcho kisu chanzo nini huyo Mmisri yuko hapa tz kwa kazi gani hapo arusha anafanya nini?huyo muubili alikuwa akubilia sehemu gani?labda kwenye biashara yake na kila siku na masipika wewe ulio kuwa kenge unaangalia upande wa msikiti walio mchoma umejuaje kuwa ni muisilamu alikwambia kuwa wamisri wote ni waisilamu nani?Sina udini lakn pale neno la Mungu linapotangazwa Kama huguswi tulia tu, wenzako wanaguswa. Mbona wao wanaweka vipaza sauti juu kabisa ya msikiti na hatujawah sema tunachoshwa.
HiyoUkiwakuta pale soko la samunge ni kama fujooo yan husikiii maombi unaskikia tu papapapappaa kuna siku mmoja akakimbizwa na wapiga debeee wa njiro maan ilikua tafran keleleee za mchungaji V.S kelelee za wapiga debee
Yan tafran
Shakaholo mackenzi mpaka kwanza ujitoe akili hao ndio wakiritowewe ndo mpumbavu.
Nyie mnaovaa magauni na kujiona mko karibu na myaazi
Huo ugomvi unajua chanzo chake?muisilamu hata siku 1 ajitaji bali vitendo viake umtangazaMimi ni muislam lakin sijapenda how come mtu atoke kwao misri huko aje! Kutuletea ujinga wake si akafanye misri ujinga wake- sisi watuache tugombane wenyewe kwa wenyewe watanzania na sio rahis kuna vingi tu vinatuunganisha tutagombana kwa maneno tu
Wewe sio muisilamu bali ni muishiramuMimi ni muislam lakin sijapenda how come mtu atoke kwao misri huko aje! Kutuletea ujinga wake si akafanye misri ujinga wake- sisi watuache tugombane wenyewe kwa wenyewe watanzania na sio rahis kuna vingi tu vinatuunganisha tutagombana kwa maneno tu
Na zile kengele tunazopiga sa kumi na moja? zinabembeleza watu eeeWao na zile adhana zao hukurupukia watu asubuhi hadi kero, dini ya chuki na fujo, waendelee kuhubiriwa hata wakichinja wahubiri au kuwalipukia mabomu.
Wewe sio muisilamu bali ni muishiramu
Hawa jamàa Wana makelele sio kawaida ni kelele mtindo mmojaNikuulize swali hivi unafahamu wale vijana wa muslim brother hood waliopigwa marufuku misri wafuasi wa Rais Mohamed Mursi? Bado wapo.
Raia mmoja wa misri amemchoma kisu mhubiri wa mitaani mkoani Arusha kwa kile alichodai kuchoshwa na kelele zake.
Muhubiri huyo maarufu mkoani hapa amekuwa akihubiri neno la Mungu mitaa, barabarani, stand za mabasi kuponya mioyo iliyopotea na kukata tamaa, kosa lake nini?
Tunalitaka jeshi la polisi mkoani hapa kuchukua hatua haraka maana haya mambo yapo kwao Misri na akitoka jela afukuzwe hapa chini.
USSR
====
Anord Mpobela kutoka huduma ya Caanan International Ministry, anayehubiri pia neno la Mungu katika mitaa ya jiji la Arusha, amechomwa kisu cha kiganja na mtu anayedaiwa kuwa ni raia wa Misri kwa kilichoelezwa kwamba mtu huyo amekuwa akichoshwa na kelele za Mhubiri huyo.
Tukio hilo limetokea Mei 9, 2023 katika eneo la barabara inayopandisha mtaa wa Jogoo House jijini Arusha.
Chanzo: EATV
Sent using Jamii Forums mobile app
Muislamu wa kweli hutafuta ukweli wa taarifa kwanza kabla ya kuhukumuMimi ni muislam lakin sijapenda how come mtu atoke kwao misri huko aje! Kutuletea ujinga wake si akafanye misri ujinga wake- sisi watuache tugombane wenyewe kwa wenyewe watanzania na sio rahis kuna vingi tu vinatuunganisha tutagombana kwa maneno tu
Muislamu wa kweli hutafuta ukweli wa taarifa kwanza kabla ya kuhukumu
Adhana moja maximum ni dakika tatu, kwa siku ni dakika 15 tu. Ila mahubiri yenu ni masaa matatu na zaidiWao na zile adhana zao hukurupukia watu asubuhi hadi kero, dini ya chuki na fujo, waendelee kuhubiriwa hata wakichinja wahubiri au kuwalipukia mabomu.