PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
[h=5]Mgombea udiwani kwa tiketi ya Tlp kata ya elerai ajitoa kwenye kinyang'anyiro na kujiunga na chadema[/h]
Amesurrender na wafuasi wake 600 na tumewapokea kama wanachama wa kawaida tu.Kafwata maslahi huyo hana jipya.
Ha ha aaa Birigita nimeona aisee kweli CDM wamepata mpiganaji wa ukweli.Ngoja nikupe wasifu wa mwanachama wenu mpya.
[1] Si mkaazi wa Elerai.
[2] Ni mganga njaa
[3] TLP ni chama kilicholala hakina mwenyewe.Mwenyekiti wake A L Mrema kaamua kukifanya chama kama sehemu ya kampuni yake binafsi.Tangu mwanzo wa kampeni mpaka leo TLP haijawahi kuzindua kampeni labda sijui maana ya kugombea ni nini ikiwa hata kuomba kura hakujafanyika.
[4] Ukipata nafasi kuzungumza na mwanachama wenu mpya utamgudua ana matatizo ya akili.Nina hakika CDM kamwe haitampatia nafasi yoyote ndani ya chama na hata nje ya chama.
[5] Alifeli vibaya mitihani ya foundation course Open University.Kumbuka alikuwa akisaka qualification tu.....
Nashangaa sana kama hata mgombea kutoka chama kinachojizika cheka chenyewe nayo ni habari.

pelekeni wakwere na wanyiramba huko mkuu, maana hao wakipewa pilau na wali wanakumbuka kutoa asante ya kura mkuu!Umewahi sikia KILIMANJARO KUNA NAANDAMANO???VYAMA VYOTE VINAONGOZWA NA WACHAGA SASA UNASHANGAA NINI !!! HATA SEHEMU WALIOSHINDA CCM MADIWANI WENGI WANASHIRIKIANA NA CDM KTK WILAYA ZA KILIMANJARO,TUWE MAKINI .
Mkuu Ngongo heshima kwako!
Huyu kamanda Boysafi Shirima ni mpambanaji wa ukweli, ni kweli kwamba si mkaaji wa Elerai, lakini alikuwa mgombea wa tlp Elerai!
Chadema imeongeza mashine nyingine kwenye safu ya wapambanaji!
Nawe tunakukaribisha kiongozi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
CHADEMA tunaheshimu hata kura 1.
acha wivu wa mke mwenza.
Mkuu Mungi hivi unajua hata kura yake hampati !,umewahi kusikia mgombea asiyekuwa na sifa za kupiga kura ha ha ha ha ha.Hapo ndipo tunapotafautiana sana kimtazamo.Hii ni sawa na mashabiki wa Manchester United kushangia usajili wa Juma Kaseja.
Mkuu Mungi lakini mbona uwezo wake mdogo sana naona mauza uza tu mbele ya safari.
Ha aha ha aaa kwa taarifa yako Daudi Mchambuzi huyu jamaa hana sifa za kupiga kura kwakuwa si mkaazi wa Elerai.Kitambulisho chake cha upigaji kura ni Moshono wewe ni mpambanaji gani usiokuwa na taarifa muhimu kama hizi.Acha uvivu wa kufikiri.