ARUSHA: Mgombea udiwani kwa tiketi ya TLP ajiunga CHADEMA

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
[h=5]Mgombea udiwani kwa tiketi ya Tlp kata ya elerai ajitoa kwenye kinyang'anyiro na kujiunga na chadema[/h]
 
Attachments

  • 7144_292429757560698_2060262435_n.jpg
    7144_292429757560698_2060262435_n.jpg
    108.9 KB · Views: 703
walianza na Mungu na watamaliza na Mungu. Mungu akiwa upande wetu nani atatushinda
 
Ha ha aaa Birigita nimeona aisee kweli CDM wamepata mpiganaji wa ukweli.Ngoja nikupe wasifu wa mwanachama wenu mpya.

[1] Si mkaazi wa Elerai.

[2] Ni mganga njaa

[3] TLP ni chama kilicholala hakina mwenyewe.Mwenyekiti wake A L Mrema kaamua kukifanya chama kama sehemu ya kampuni yake binafsi.Tangu mwanzo wa kampeni mpaka leo TLP haijawahi kuzindua kampeni labda sijui maana ya kugombea ni nini ikiwa hata kuomba kura hakujafanyika.

[4] Ukipata nafasi kuzungumza na mwanachama wenu mpya utamgudua ana matatizo ya akili.Nina hakika CDM kamwe haitampatia nafasi yoyote ndani ya chama na hata nje ya chama.

[5] Alifeli vibaya mitihani ya foundation course Open University.Kumbuka alikuwa akisaka qualification tu.....

Nashangaa sana kama hata mgombea kutoka chama kinachojizika cheka chenyewe nayo ni habari.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ngongo heshima kwako!
Huyu kamanda Boysafi Shirima ni mpambanaji wa ukweli, ni kweli kwamba si mkaaji wa Elerai, lakini alikuwa mgombea wa tlp Elerai!
Chadema imeongeza mashine nyingine kwenye safu ya wapambanaji!
Nawe tunakukaribisha kiongozi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Umewahi sikia KILIMANJARO KUNA NAANDAMANO???VYAMA VYOTE VINAONGOZWA NA WACHAGA SASA UNASHANGAA NINI !!! HATA SEHEMU WALIOSHINDA CCM MADIWANI WENGI WANASHIRIKIANA NA CDM KTK WILAYA ZA KILIMANJARO,TUWE MAKINI .
 
CHADEMA tunaheshimu hata kura 1.
acha wivu wa mke mwenza.
 
pelekeni wakwere na wanyiramba huko mkuu, maana hao wakipewa pilau na wali wanakumbuka kutoa asante ya kura mkuu!
 
Mkuu Mungi hivi unajua hata kura yake hampati !,umewahi kusikia mgombea asiyekuwa na sifa za kupiga kura ha ha ha ha ha.Hapo ndipo tunapotafautiana sana kimtazamo.Hii ni sawa na mashabiki wa Manchester United kushangia usajili wa Juma Kaseja.

Mkuu Ngongo heshima kwako!
Huyu kamanda Boysafi Shirima ni mpambanaji wa ukweli, ni kweli kwamba si mkaaji wa Elerai, lakini alikuwa mgombea wa tlp Elerai!
Chadema imeongeza mashine nyingine kwenye safu ya wapambanaji!
Nawe tunakukaribisha kiongozi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ha aha ha aaa kwa taarifa yako Daudi Mchambuzi huyu jamaa hana sifa za kupiga kura kwakuwa si mkaazi wa Elerai.Kitambulisho chake cha upigaji kura ni Moshono wewe ni mpambanaji gani usiokuwa na taarifa muhimu kama hizi.Acha uvivu wa kufikiri.

CHADEMA tunaheshimu hata kura 1.
acha wivu wa mke mwenza.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mungi hivi unajua hata kura yake hampati !,umewahi kusikia mgombea asiyekuwa na sifa za kupiga kura ha ha ha ha ha.Hapo ndipo tunapotafautiana sana kimtazamo.Hii ni sawa na mashabiki wa Manchester United kushangia usajili wa Juma Kaseja.

Mkuu ni kweli kwamba kura yake ipo Moshono, lakini tunachozungumzia ni mashambulizi ya uhakika kama kuzungumzia mabaya ya shetani hahaha
 
Mkuu Mungi lakini mbona uwezo wake mdogo sana naona mauza uza tu mbele ya safari.

Mkuu ni kweli kwamba kura yake ipo Moshono, lakini tunachozungumzia ni mashambulizi ya uhakika kama kuzungumzia mabaya ya shetani hahaha
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mungi lakini mbona uwezo wake mdogo sana naona mauza uza tu mbele ya safari.

Mkuu tunachoamini ni kwamba jamaa ameona nuru kuu, ameona sera nzuri na bora kwa mustakbali wa arusha na tanzania upo chadema.
hata wewe tunakukaribisha kwenye ukombozi wa fikra.
Tanzania yenye neema inakuhusu wewe. Karibu kwenye ukombozi
 
Ha aha ha aaa kwa taarifa yako Daudi Mchambuzi huyu jamaa hana sifa za kupiga kura kwakuwa si mkaazi wa Elerai.Kitambulisho chake cha upigaji kura ni Moshono wewe ni mpambanaji gani usiokuwa na taarifa muhimu kama hizi.Acha uvivu wa kufikiri.

mkuu jaribu kufikiria walau kwa urefu wa pua utagundua kuwa huyu ambaye sio mpiga kura wa Elerai aliyejiunga na CHADEMA hapa Elerai anayo influence ya kupatia CHADEMA walau kura 1 ya raiya ambae alikua akimuunga mkono kabla ya kujitoa TLP.

CCM mmepatwa na upofu , CHADEMA brain yetu iko speed mara 900000000000 zaidi ya vilaza wote wa CCM .
Are you serious mmemtuma Nape Nnauye na shostito wake Mwigulu Nchemba kuja Arusha kuwatukana wapiga kura na Lema badala ya kongea sera chama za chenu mfu??
 
Back
Top Bottom