kwa mara ya kwanza nimekupa
sijasema mkuuKwa mara ya ngapiiiiii??? kumbe buyu hliii
Hizi akili zako ni za namna ya jitu hopeless halina wazo lolote la kisonga mbele
Baada ya kumaliza chuo huo mkopo utakapoanza kudaiwa utajiuza nakwambia
Ni ukweli kwamba kuna utoroshaji mkubwa wa pesa na ubadilishaji wa pesa za kigeni usio wa kihalali na wa kificho mm nilitamani siku nyingi nimwambie azifunge kwani record zinazowekwa kwenye vitabu vyao sio sahihi na pia wanabadili pesa nyingi kinyemela. Nadhani ziachiwe bank zifanye hiyo biashara ya kubadili pesa za kigeni kwa masharti maalum ya kufanyiwa follow up ya kiwango cha pesa alichobadili kwa wiki. June watu wanafungia ndani pesa nyingi na wengine wanasafirisha nchi jirani.
Mbona povu jingi mkuu? Benki kuu ina jukumu la kusimamia sekta ya fedha kwa ujumla na sekta ndogo ya ubadilishaji fedha. Sasa tatizo liko wapi wakifanya ukaguzi na uhakiki kama taratibu zinafuatwa?
Utaratibu walioutumia una matatizo, aidha kuna agenda ya siri nyuma yake ambayo watawala wanaifahamu.Kama kuna taratibu bureau yangu imekiuka si wanishughulikie mimi badala ya kuweka mji wote kwenye tension
mmmmh...pole. nikupe tu poleUna hamu ya kupumiliwa kisogoni
Kweli kbsaOur export import deficit is way lower compared to Kenya ur currency has depreciated from 100-105 Kshs per dollar.
That deployment was totally uncalled for and hence unjustified. The reasons given by the Bot Governor to explain about the army deployment show how the Governor himself is misplaced to the position he is holding.Army deployment ni preventive measure
The Governor is lawyer if not mistaken.That deployment was totally uncalled for and hence unjustified. The reasons given by the Bot Governor to explain about the army deployment show how the Governor himself is misplaced to the position he is holding.
Inaonekana Mkulu haviamini vyombo vingine vya ulinzi zaidi ya JWT.