Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) yasimamiwa na JWTZ, wananchi watakiwa kwenda Benki Kuu

Mara nyingi tungo zake huwa na utata lakini kwa hili nipo naye bila kujali uchama wake
 
Hasssan kwa hili namuuunga mkono kwa 100%...kuwa Amiri Jeshi Mkuu haina maana ulitumie Jeshi kwa mambo ya hovyo hovyo kama haya.
Washauri wa Jiwe wanamdanganya JWTZ ni Jeshi la Uilnzi sio Jeshi la Zimamoto....Jeshi la Polisi lingetosha .
Tuwape JWTZ hadhi yao!
 
JW wamekuwa kama mgambo wa jiji, ni sawa na kutumia lorry kubebea majani ya mbuzi watano
 
Ngoja tuone TZS itavyopanda thamani sasa kwa maana tatizo limetatuliwa. kuna mambo kama huna ujuzi nayo bora ubaki mpenzi mtazamaji. Suala la fedha tofauti sana na Mahindi na korosho.
 
Ni ukweli kwamba kuna utoroshaji mkubwa wa pesa na ubadilishaji wa pesa za kigeni usio wa kihalali na wa kificho mm nilitamani siku nyingi nimwambie azifunge kwani record zinazowekwa kwenye vitabu vyao sio sahihi na pia wanabadili pesa nyingi kinyemela. Nadhani ziachiwe bank zifanye hiyo biashara ya kubadili pesa za kigeni kwa masharti maalum ya kufanyiwa follow up ya kiwango cha pesa alichobadili kwa wiki. June watu wanafungia ndani pesa nyingi na wengine wanasafirisha nchi jirani.

Sijaelewa argument yako hapa mkuu! Maduka ya kubadilishia/kununua fedha ni biashara kama zilivyo biashara za mabenki. Hata benk akitaka kufanya hivyo biashara ya bureau de change lazima aombe leseni ya kufanya hiyo biashara.

Kilichopo hapa, kama hela sio ya serikali, sioni kwann serikali ianze kufuatilia watu mpaka uvunguni mwao. Kama mtu amelipa gharama za kufanya biashara fulani, aachiwe afanye kazi. Ikiwa kila kitu serikali inataka kukontrol itavuruga soko, na ndipo tunapoelekea uchumi wa nchi unavurugika kwa sababu ya serikali kuingilia mambo yanayotakiwa soko lijitengenezee lenyewe, with minimal state intervention.
 
Mbona povu jingi mkuu? Benki kuu ina jukumu la kusimamia sekta ya fedha kwa ujumla na sekta ndogo ya ubadilishaji fedha. Sasa tatizo liko wapi wakifanya ukaguzi na uhakiki kama taratibu zinafuatwa?

BOT ndio wakaguzi au JWTZ ?
 
!!machenchdola,wa samora, salamander, empress. Ile dili imerudi tena, huko mlipo kopeni nauli fasta rudini mjinii kumekuchaaa!!!
 
Nadhani hili ni swala la mambo makuu 2...
*Serikali imeshindwa kudhibiti ‘uwiano wa kibiashara’ au Balance of payments(BOP) kitu kilichopelekea Mamia ya mabilioni kupotea Kama hasara yetu kwa mataifa ya kigeni....kwani tulitumia akiba nyingi,hadi kupitiliza kwa matumizi yasio muhimu ($+600bn).....
*Mfufumuko wa bei,kutoka CPI ya 4% (2015) hadi CPI 12% (2018)......na shilingi yetu kuanguka vibaya dhidi ya dola kwa 11%......
*Hali hiyo ni mbaya,isipoangaliwa kwa karibu inaweza fananishwa na 2008 Depression..hatutaki ifikie hapo!
 
Army deployment ni preventive measure
That deployment was totally uncalled for and hence unjustified. The reasons given by the Bot Governor to explain about the army deployment show how the Governor himself is misplaced to the position he is holding.
 
That deployment was totally uncalled for and hence unjustified. The reasons given by the Bot Governor to explain about the army deployment show how the Governor himself is misplaced to the position he is holding.
The Governor is lawyer if not mistaken.
With this professional background, it seems irrelevant as far as growth of country's economy is concerned
 
Back
Top Bottom