ARUSHA: Lowassa kumtembelea Lema gerezani Kisongo

Serikali iandaliwe upya na ijitathmini juu ya figisufigisu hizi. Hapa tunarudi miaka ya 80 matokeo yake ni mabaya sana
 
Majanga. Lowasa anaenda kumtembelea mtu ambaye alimchafua kwenye jamii yote ya watanzania. Wajameni embu tujitazame. Pamoja na matusi yooote ya Lema kwake. Nadhani atakua anaenda kimsanifu tuu. Hana jipya. Na kweli nenda kamsanifu kijana. Mwambie siasa mlizianza zamani tangu enzi ya Nyerere! Leo yeye kaja juzi tu bado ananuka maziwa anakuja na matapishi yasiyokua na mbele wala nyuma
 
mkuu umemaliza kila kitu
 
Lowasa kila tukio kwake ni fursa ya kisiasa, sasa na hao viongozi wote anaenda nao kwenye kikao cha chama.!
 
Labda watatafuta suluhu na kumaliza tofauti zao, yaani kati ya Lema na fisadi Lowasa!
Daaa kwa clip hii ya Lema namshauri Lowasa aahirishe safari yake. Kwa busara tu. Asijifanye kuziba masikio na kutoona. Chondechonde. Plse plse lowasa ahirisha unaenda kujidhalilisha tu kule kwa Lema. Huyo ni adui yako mbaya sana. Matamshi haya hadharani. Bado unajifanya umesamehe. Yarabi toba
 
Jaribu kutumia ubongo kidogo . Hivi leo Messi akihama kutoka Barcelona na kuja Real Madrid akawa anafunga magoli tusimshangalie.?

Wewe Umetumia akili ndio umekuja na hitimsho Hilo la kufananisha Wizi na Ufisadi na Uchezaji Mpira! Mlimsema Lowassa kwa Wizi wake sio U CCM wake, Wana CCM walikuwa wengi na wengine ni CCM kweli kweli kuliko Lowassa lakin Mkamsema Kwa Wizi na Ufisadi Leo unakuja na Mifano ya Real Madrid na Barcelona!
 
Mimi sizungumzii jamaa yetu ama siyo yetu.
Nazungumzia UJANJA wa kisiasa . Kama ungekuwa unajua POLITICAL SCIENCE ungenielewa
Lakini kama wewe ni shabiki tu.
HUTANIELEWA!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Eti Political Science uliyosoma ndio ili kufundisha Umwite Mtu Fisadi na Mwizi kwa Miaka 8 na Jina lake uweke kwny Orodha ya Mafisadi Nguli ( List of shame) halafu usubiri agombee kwa Chama chake wamkate ndio ahamie kwny Chama chenu halafu Muamue kumpitisha agombee Urais? Hiko Chuo chako kitakuwa cha Kipekee sana.

Kajifunze kutengeneza Ideology kwa Wanachama na ujue kanuni zipi za kufuata.
 
Mkuu, Mimi SISHABIKII VYAMA vyovyote na IDEOLOGY zake as per my signature hapo chini.

NINACHOKISHABIKIA mimi ni Nchi yanguTanzania na vizazi vijavyo!
VYAMA vya KISIASA huja na KUPITA,
WATAWALA nao huja na KUPITA,
Bali Taifa HUBAKI siku zote.
Tafakari hayo!
 
Yaani Kaka siku hizi kushabikia CDM lazima ujitoe akili na kujifanya mwendawazimu kidogo!! Wanatia Huruma kwa Kigeugeu chao!!
 
It look like a type of provocation to the kamati ya ulinzi na usalama mkoa.
 
haj
Haisaidii kutafuta kiki ya Kisiasa kwa muhalifu Lema! Hata angefanyaje Lowassa haibuki tena Kisiasa! He is completely and politically finished!!!
hahaaaaaa ameisha? naunatumia nguvu nyingi hivyo ku comment? mpuuze umkute ikulu shenziii
 
Hivi zile ajira za kukesha mtandaoni almaarufu b7 bafo zipo??
 
shida nikuwa maneno yako ni mazito mno kwake hatakuelewa akili yake imeshaharibiwa na ccm.
wana load very slow hao watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…