ARUSHA: Lowassa kumtembelea Lema gerezani Kisongo

ARUSHA: Lowassa kumtembelea Lema gerezani Kisongo

Hizo Political science za kwenye madaftari ni mbwembwe tu.
Mkuu yawezekana haya yote ni mbwembe.
Tena ni Mbwembwe sana maana hata madaftari na vitabu vyake viliandikwa na watu wenye mbwembwe mbwembe.
Na hayo yote niliyoyaandika ni mbwembe tupu.
Ahsante kwa mchango wako mzuri sana!
 
Ufisadi mkuu wa EL ni Richmond, je, mwenye Richmond in EL!?
Hata kama EL aliamua wakati huo kushirikiana na watu katika kuwafichia madhambi ni wazi sasa kaenda mbele zaidi kwa kulikana hilo kundi hadharani (kutubu) na kujiunga na upande mwingine, sisi ni nani mpaka tusimpokee!?

hapana

ashitakiwe...hakunaga huo msamiati wa kutubu
 
Sawa kabisa, wengi tuliktegemea mahakama ya mafisadi ingeanza na yeye kabla ya kuambiwa eti imekosa 'wateja'!
na ndio maana tunasema uozo wa ufisadi serikalini umeota mizizi..ni mtindo wa kulindana tu...na ndivyo wanawalinda mafisadi kama kina lowasa kikwete chenge magu na wengine wengi.

opposition tumekosea sana kuingizwa Chaka na kuzimwa Sauti zetu juu ya ufisadi

it's obvious CCM ni majizi..ila tulichofanya kupokea mwizi mmoja lowasa kumetupotezea moral authority ya kupambana na ufisadi
 
Uchaguzi wa 2015 ulikuwa mgumu na tukubaliane umebadilisha picha ya nchi.
Hebu linganisha haya 'makosa' ya cdm na ya jukumu la Dr. Slaa pamoja na Prof. wa Buguruni then tupate ground!
 
Uchaguzi wa 2015 ulikuwa mgumu na tukubaliane umebadilisha picha ya nchi.
Hebu linganisha haya 'makosa' ya cdm na ya jukumu la Dr. Slaa pamoja na Prof. wa Buguruni then tupate ground!
uchaguzi ule umetuonesha jinsi wanasiasa wa upinzani walivyo hovyo...sio waaminifu na sio watu wa kusimamia kauli zao...in short opportunists.

CCM hao tunawajua...so hakuna cha kushangaza

Namheshimu Dr slaa kwa kazi kubwa aliyofanya akiwa CHADEMA . .hata hivyo kutokana na kosa lililofanyika CHADEMA ilikuwa ni haki yake kukaa pembeni

samahani sitamwongelea prof lipumba
 
Back
Top Bottom