Majanga. Lowasa anaenda kumtembelea mtu ambaye alimchafua kwenye jamii yote ya watanzania. Wajameni embu tujitazame. Pamoja na matusi yooote ya Lema kwake. Nadhani atakua anaenda kimsanifu tuu. Hana jipya. Na kweli nenda kamsanifu kijana. Mwambie siasa mlizianza zamani tangu enzi ya Nyerere! Leo yeye kaja juzi tu bado ananuka maziwa anakuja na matapishi yasiyokua na mbele wala nyumaTAARIFA-CHADEMA KANDA YA KASKAZINI
Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa, Edward Lowassa pamoja na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye wataongozana na Katibu wa kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa na Madiwani wa Jiji la Arusha wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro siku ya kesho watamtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema katika Gereza la Kisongo .
mkuu umemaliza kila kituWaarabu walipasua mimba za mama zenu na wakawahubiria injili ya dini mkaikubali.... Wazungu waliwapiga mijeledi...walipora rasilimali zenu na kuwaita nyani bado mliipokea injili yao ya Yesu.... Bado mnapata misaada yao na kuishi katika utamaduni wao...
Hata sauli baada ya kuua sana baadae alihubiri injili na walioteswa naye wakaipokea!!
Labda watatafuta suluhu na kumaliza tofauti zao, yaani kati ya Lema na fisadi Lowasa!
Jaribu kutumia ubongo kidogo . Hivi leo Messi akihama kutoka Barcelona na kuja Real Madrid akawa anafunga magoli tusimshangalie.?
Sijui Lema alikuwa anaambiwa nn hapo?Lema ataweza kweli kumuangalia usoni lowasa??kama kapata hizo taarifa hatalala leoView attachment 452294
Mimi sizungumzii jamaa yetu ama siyo yetu.
Nazungumzia UJANJA wa kisiasa . Kama ungekuwa unajua POLITICAL SCIENCE ungenielewa
Lakini kama wewe ni shabiki tu.
HUTANIELEWA!



Eti Political Science uliyosoma ndio ili kufundisha Umwite Mtu Fisadi na Mwizi kwa Miaka 8 na Jina lake uweke kwny Orodha ya Mafisadi Nguli ( List of shame) halafu usubiri agombee kwa Chama chake wamkate ndio ahamie kwny Chama chenu halafu Muamue kumpitisha agombee Urais? Hiko Chuo chako kitakuwa cha Kipekee sana. Mkuu, Mimi SISHABIKII VYAMA vyovyote na IDEOLOGY zake as per my signature hapo chini.Eti Political Science uliyosoma ndio ili kufundisha Umwite Mtu Fisadi na Mwizi kwa Miaka 8 na Jina lake uweke kwny Orodha ya Mafisadi Nguli ( List of shame) halafu usubiri agombee kwa Chama chake wamkate ndio ahamie kwny Chama chenu halafu Muamue kumpitisha agombee Urais? Hiko Chuo chako k itakuwa cha Kipekee sana.
Kajifunze kutengeneza Ideology kwa Wanachama na ujue kanuni zipi za kufuata.
Yaani Kaka siku hizi kushabikia CDM lazima ujitoe akili na kujifanya mwendawazimu kidogo!! Wanatia Huruma kwa Kigeugeu chao!!Eti Political Science uliyosoma ndio ili kufundisha Umwite Mtu Fisadi na Mwizi kwa Miaka 8 na Jina lake uweke kwny Orodha ya Mafisadi Nguli ( List of shame) halafu usubiri agombee kwa Chama chake wamkate ndio ahamie kwny Chama chenu halafu Muamue kumpitisha agombee Urais? Hiko Chuo chako kitakuwa cha Kipekee sana.
Kajifunze kutengeneza Ideology kwa Wanachama na ujue kanuni zipi za kufuata.
It look like a type of provocation to the kamati ya ulinzi na usalama mkoa.TAARIFA-CHADEMA KANDA YA KASKAZINI
Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa, Edward Lowassa pamoja na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye wataongozana na Katibu wa kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa na Madiwani wa Jiji la Arusha wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro siku ya kesho watamtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema katika Gereza la Kisongo .
Labda watatafuta suluhu na kumaliza tofauti zao, yaani kati ya Lema na fisadi Lowasa!
hahaaaaaa ameisha? naunatumia nguvu nyingi hivyo ku comment? mpuuze umkute ikulu shenziiiHaisaidii kutafuta kiki ya Kisiasa kwa muhalifu Lema! Hata angefanyaje Lowassa haibuki tena Kisiasa! He is completely and politically finished!!!
shida nikuwa maneno yako ni mazito mno kwake hatakuelewa akili yake imeshaharibiwa na ccm.Mkuu, Mimi SISHABIKII VYAMA vyovyote na IDEOLOGY zake as per my signature hapo chini.
NINACHOKISHABIKIA mimi ni Nchi yanguTanzania na vizazi vijavyo!
VYAMA vya KISIASA huja na KUPITA,
WATAWALA nao huja na KUPITA,
Bali Taifa HUBAKI siku zote.
Tafakari hayo!