Daraja Makofia
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 717
- 944
Natabiri taarifa za kiintelejensia zitatolewa asubuhi kuwa siku hiyo haifa kutembelea wafungwa. Utabiri unaonyesha kutakuwa na mvua itakayoambatana na vitu vyenye ncha kali.
Umeona sehemu gani nimeandika kuna mtu anajua siku?UmekurupukaNani anaeingia kaburini? Nani aijuae siku AU saa?
Unajuaje kama hiyo suluhu haijawahi kupatikana,ni mara ngapi Lema na lowassa wameshaonana baada ya lowassa kuhamia CDM?Mwehu vipi? Lema alitangaza kwamba ni heshima kubwa kwa Mungu kumzomea Fisadi! Ndio maana huyo kusema labda watatafuta suluhu!!
Kama ingekuwa ni MIMI ningempigia simu DPP na kumwambia aweke NOLLE PROSEQUI/Serikali haina haja ya kuendelea na kesi hii.
Hapo ANGEZIMA UKAWA!
Si kwamba LEMA hajakosa bali Magufuli angekuwa amecheza KARATA ya kisiasa kubwa sana na FAIDA kwa upande wake.
Maana the more LEMA anahangaika kupata DHAMANA, ndivyo Magufuli ANAVYOUJENGA na kuupa NGUVU upinzani.
Wazungu walimfunga Mandela ili kumnyamazisha kwa miaka 27.
Ilibidi De Klerk amsamehe na kusema aruhusiwe kugombea URAIS na hatimaye akawa RAIS.
NGUVU na VITISHO havisaidii. bali ni UJANJA na HEKIMA za kisiasa ambazo ni LAZIMA Magufuli ajue kuzicheza!
Kubalansi kati ya USOMI, UTAWALA, Na more importantly kuwa MWANASISASA mjanja.
Kiasi kuwa unaweza kufanya kazi hata na yule aliyekuwa anakuombea mabaya.
Nchi ya jirani zetu. Moi wa Kenya alimfunga Odinga mara nyingi sana akijaribu kumnyamazisha.Lakini Haikumsaidia mpaka ilibidi Moi kuwa mwana siasa MWELEVU na MJANJA.
Akamwingiza katika chama chake cha KANU na kumfanya kuwa katibu mkuu.NCHI IKATULIA KIASI.
HUO NDO UJANJA wa KISIASA.
KUTUMIA NGUVU na mamlaka na vyombo vya dola mara nyingi HAKULIPI bali huzaa REBELLION/UASI na political tensions ambazo HAZINA maana na impact zake ni kubwa sana kitaifa!
Kwanza CV yetu kama taifa na ya RAIS kimataifa INAHARIBIKA sana!!!
Rais Magufuli AKIMSAMEHE Lema hatakuwa AMEPOTEZA chochote bali atakuwa amewafunga wapinzani MAGOLI.
Hata hivyo akili ni nywele kila mtu ana zake!
da nimefikiria mbali sana sikutegemea kama kuna siku lema , atakuja kukaa meza moja na lowasa
Mbona unaweweseka?Kesho watu watakula virungu Arusha!
Huo msafara wotee wa nini ?
Hao madiwani wote 24 ,sijiu lowasa, summaye , calist na wengine lazima wote waende kesho?
Kulikuwa na ulazima wa kulitangaza tukio kabla ya kulifanya?
Wangeenda tuu tusikie wametoka kuona Lema kisongo! Its was enough..
Sasa hapa mmetangaza ili boda boda waingie kufanya maandamano sio?
Kwa hali ya Arusha na siku ya kesho Dec 31...watu wawe makini tuu...
Ila Ukawa hizi cheap popularity mnazosaka kwa hivi maji yako shingoni..![]()
Mkuu mimi nimetoa mtazamo wangu kuzingatia hali ya kisiasa ya mkoa wa Arusha.Mbona unaweweseka?



Ili uweze kukaa cdm inabidi uwe na uwezo wa kufanya ukweli uwe uongo!Nyie wanasiasa mnafurahisha sana, hivi Lowasa asingekatwa akahamia CDM mngemtetea kama hivi mnavyomtetea sasa hivi kwa nguvu zote? au ndio mnafuata upepo tu.



Basi una mtazamo wa ajabu sana kwa kuhisi nje yako ni cdmMkuu mimi ninetoa mtazamo wangu kuzingatia hali ya kisiasa ya mkoa wa Arusha.
Tatizo lenu cdm mnafikiri kishabiki sana..!
Fanye vitu bila kutafuta kiki..! Mtaeleweka tuu..![]()
da nimefikiria mbali sana sikutegemea kama kuna siku lema , atakuja kukaa meza moja na lowasa
Ndipo waliponasa kwenye mtego CDM kwa kumpokea waliyemtangaza Fisadi Papa kwa miaka 8 na sasa wako naye na kuwaambia CCM eti wampeleke Mahakamani! Ebo! Si wao wana ushahidi? Mbona hawampeleki Mahakamani??Nyie wanasiasa mnafurahisha sana, hivi Lowasa asingekatwa akahamia CDM mngemtetea kama hivi mnavyomtetea sasa hivi kwa nguvu zote? au ndio mnafuata upepo tu.