ARUSHA: Lowassa kumtembelea Lema gerezani Kisongo

Mimi sizungumzii jamaa yetu ama siyo yetu.
Nazungumzia UJANJA wa kisiasa . Kama ungekuwa unajua POLITICAL SCIENCE ungenielewa
Lakini kama wewe ni shabiki tu.
HUTANIELEWA!
Is political science techniques defines nothing about the use of prisons or detention act?
 
TAARIFA-CHADEMA KANDA YA KASKAZINI

Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa, Edward Lowassa pamoja na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye wataongozana na Katibu wa kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa na Madiwani wa Jiji la Arusha wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro siku ya kesho watamtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema katika Gereza la Kisongo .

Hapo lowasa anaenda kuhakiki kuwa kweli mbaya wake Lema yuko KIsongo.Kimoyo moyo LOwasa atakuwa anachekelea sababu ni Lema ni mmojapo wa waliomnanga sana bado hawa wengine kwenye hilo kundi

13233029_1590768097881921_7440964151336377693_n-jpg.360620
 
Waarabu walipasua mimba za mama zenu na wakawahubiria injili ya dini mkaikubali.... Wazungu waliwapiga mijeledi...walipora rasilimali zenu na kuwaita nyani bado mliipokea injili yao ya Yesu.... Bado mnapata misaada yao na kuishi katika utamaduni wao...

Hata sauli baada ya kuua sana baadae alihubiri injili na walioteswa naye wakaipokea!!
Hakika umenena vema
 
Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa, Edward Lowassa
Lema kashasema huyo hafai kuitwa Waziri mkuu mstaafu, kwa sababu hakustaafu bali alizijiuru.
Refer video iliyopo kwenye comment ya tatu.
 
Is political science techniques defines nothing about the use of prisons or detention act?
It does not define or advocate the use of what you mentioned
But rather it is a crafty political manoeuvre that neutralises your opponent without necessarily physically HURTING the person.
And since it is a social science discipline it DRIVES the person to undertake rightful decisions and arguements in any conflict.etc
 
Kesho watu watakula virungu Arusha!

Huo msafara wotee wa nini ?

Hao madiwani wote 24 ,sijiu lowasa, summaye , calist na wengine lazima wote waende kesho?

Kulikuwa na ulazima wa kulitangaza tukio kabla ya kulifanya?

Wangeenda tuu tusikie wametoka kuona Lema kisongo! Its was enough..

Sasa hapa mmetangaza ili boda boda waingie kufanya maandamano sio?

Kwa hali ya Arusha na siku ya kesho Dec 31...watu wawe makini tuu...

Ila Ukawa hizi cheap popularity mnazosaka kwa hivi maji yako shingoni..
Umezaliwa muoga ndo mana umenunuliwa kufanya kazi maalum kwenye mitandao kwani kipi hapo kifanywe kwa siri
 
Haisaidii kutafuta kiki ya Kisiasa kwa muhalifu Lema! Hata angefanyaje Lowassa haibuki tena Kisiasa! He is completely and politically finished!!!
Kaulize waliokutuma nguvu ya Lowassa ndo maana wanaogopa kuruhusu mikutano ya kisiasa
 
TAARIFA-CHADEMA KANDA YA KASKAZINI

Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa, Edward Lowassa pamoja na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye wataongozana na Katibu wa kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa na Madiwani wa Jiji la Arusha wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro siku ya kesho watamtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema katika Gereza la Kisongo .
unakosema unaposema waziri mkuu mstaafu ni waziri mkuu aliyetenguliwa kwa kuhusika na wizi.
 
Ameamua kumtembelea baada ya kelele za wana JF. La sivyo asingefanya hivyo. tunamshukuru kwa kutusikiliza.

Kueni macho mtaona akifanya mazingaumbwe ya kisiasa , kujijengea sifa.

Kuna wale viongozi wanaoishi Arusha na mpaka sasa hawajaenda kumtembelea, lakini watakuwa wamo kwenye mkumbo wa Lowasa
 
TAARIFA-CHADEMA KANDA YA KASKAZINI

Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa, Edward Lowassa pamoja na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye wataongozana na Katibu wa kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa na Madiwani wa Jiji la Arusha wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro siku ya kesho watamtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema katika Gereza la Kisongo .
Hii ni vurufu kabisa kuna sababu gani ya kwenda wote siku moja? acheni siasa za kijinga...hakuna atakaye ruhusu watu kuleta vurugu.....
 
Labda watatafuta suluhu na kumaliza tofauti zao, yaani kati ya Lema na fisadi Lowasa!

Hii clip nilikwancjawahi kuiona,siasa sio uhasama siasa inahitaji akili zaidi na sio kufuata mkumbo.
 
Back
Top Bottom