Nafikiri tunashinda kata zote tano, au vipi?Mda gani soweto ndugu?
Mda gani soweto ndugu?
kama kawaida mkuu.sijui kwa nini mchina wangu unazorota kuload page ya jf,ngoja nimbembeleze wife aniazime ya kwake.
du hii kali unachukua ya mke wako, yeye atakosa whatsapp, Facebook nk.