Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
View attachment 119253View attachment 119252hapa ni mountmeru hotel.
mkuu muongo hiyo sio mountmeru hotel umetudaganyaa
unataka kuniambia mto temii.....kwambali naweza kufikiri ila kuna vitu vinanifanya nisishawishike cse that is ma main place na ndo maskani yangu kubwa hapo le barbeie bar hahahaMkuu ni darajani pale wakati unapandisha kuikuta Mount Meru Hotel maana hicho kilima kushoto hapo ni kile chenye Diamond Trust bank
mkuu muongo hiyo sio mountmeru hotel umetudaganyaa
unataka kuniambia mto temii.....kwambali naweza kufikiri ila kuna vitu vinanifanya nisishawishike cse that is ma main place na ndo maskani yangu kubwa hapo le barbeie bar hahaha
b'real sijakudanganya mkuu nilipita hapo mitaa ya mchana kulikuwa kweupe kweli nilipoziona hizo 682 nikazipiga na kamchina kangu.mkuu muongo hiyo sio mountmeru hotel umetudaganyaa
unataka kuniambia mto temii.....kwambali naweza kufikiri ila kuna vitu vinanifanya nisishawishike cse that is ma main place na ndo maskani yangu kubwa hapo le barbeie bar hahaha
Kha ha ha haaaaaa! Mkubwa hiyo inaitwa FIAT 682 ingetakiwa uweke na lile linakuwa na kebini ya kijani pale mbele ya bambari limeandikwa Mzungu Pori
Kwa kweli haya magari yana nguvu sana. Ni magari ya Kitaliano
F= fabbrica
I=italiana
A=automobili
T=torino
Hayana mwendo wa kasi lakini safari itafika tu!
mkuu b'real hapo le barbeie ndo unapigia vyombo?nitatembelea hapo baada ya nusu saa.
yeah man unikosi niko conter kule mwisho na chupa yangu ya castel baridiiiiiimkuu b'real hapo le barbeie ndo unapigia vyombo?nitatembelea hapo baada ya nusu saa.
picnic sio kivile mjomba mamba wa zamani......njo sky lounge hapa philips super market siku kama leo na jmosi balaaa ngoja tumalize kazi tukajipongeze....Mkuu Ringo Edmund vipi hapo panauhamasishaji? .....bia za picnic hazi pandi
B'REAL nakuja hapo aise nikifika nitajitambulisha bana kwa wadau wakuuupicnic sio kivile mjomba mamba wa zamani......njo sky lounge hapa philips super market siku kama leo na jmosi balaaa ngoja tumalize kazi tukajipongeze
picnic sio kivile mjomba mamba wa zamani......njo sky lounge hapa philips super market siku kama leo na jmosi balaaa ngoja tumalize kazi tukajipongeze
Kha ha ha haaaaaa! Mkubwa hiyo inaitwa FIAT 682 ingetakiwa uweke na lile linakuwa na kebini ya kijani pale mbele ya bambari limeandikwa Mzungu Pori
Kwa kweli haya magari yana nguvu sana. Ni magari ya Kitaliano
F= fabbrica
I=italiana
A=automobili
T=torino
Hayana mwendo wa kasi lakini safari itafika tu!
....ha ha ha ha Mkuu hapo kwenye red nimecheka sana jana nimekutananalo kule barabara ya Ngurudoto!!!!