Arusha: Lema amewapa kilema Wanaarusha

Arusha: Lema amewapa kilema Wanaarusha

Godbless Lema haja tetereka na kamwe hato tetereka.

Kukaa kwake Mahabusu rather kumemuimarisha zaidi badala ya kumdhoofisha.

Huyu ndio Lema.. Mpambanaji ambae wakati wote huwa na mawazo huru.
Atakula mvua miaka mitatu jela
 
Mambo haya ndio alikataa Baba wa Taifa wakati ule Mh. Mrema alipokuwa analipuwa mabomu. Akamwambia Rais "Muacheni hata wakitaka kumbeba, kwani mkimkamata mtampa umaarufu wa kisiasa..."

Mzee yule alikuwa na hekima sana huenda kama za mfalme Suleiman. leo ni kweli yanatokea...... Mwl. Nyerere bila shaka anastahili kwa kanisa Katoliki kumtangaza mwenyeherina hata Mtakatifu. Alikuwa na maono sana kama manabii ambao walikuwa wanaongeana Mwenyezi mungu.
Mwalimu alisema maadam mbebwaji yupo na wabebaji wapo basi mwacheni yule mzee tutamkumbuka sana.
 
GODBLESS LEMA.

Yaani watu wengine wanashindwa kuelewa.

Tuangalie hata maana tafsiri ya jina lake kwa kiswahili. "GOD BLESS LEMA"

Ina maana - " MUNGU MBARIKI LEMA"

hivyo huyu mtu hawamuwezi kwani ana baraka kutoka kwa Mungu. Watamchelewesha tu lakini Mungu anampigania.
 
YOU CAN JAIL YOUR OPPONENTS BUT CAN'T JAIL IDEA Maneno kama haya huwa yanaishi maana hata kama Lema hayuko watazaliwa kina Lema wengi zaidi, maana ni mahakama ya mafisadi imeamia kwa wabunge wa upinzani, nilitegemea ahadi na mbwembwe za mahakama ya mafisadi hadi leo wezi wa escrow, Richmond, melemeta, faru John, na wengine wengi wangekuwa jela lkn kinyume chake ni wapinzani ndio wako jela, na vyombo vya habari, oooooh pole my Tanzania
 
Swali langu ni moja, hivi Lema ni kiongozi au ni mwakilishi wa wananchi wa Arusha mjini?
 
Mimi nilifarijika sana na maneno ya mwanaye. I wish I could have a son like that young boy. He is very stable and strong. Na lugha yake inanizidi hata mimi na PhD yangu. Du kijana hatari sana
 
Hiyo kazi ya kutangaza hakuna njaa wakati kijiji cha bwai kuna watu kibao wamekufa kwa njaa? Endeleeni tu siku ya Bwana ikifika ndipo mtapojua kama rozari inaweza kukufikisha mbinguni au la
 
Nawashangaa ccm wanavyohangaika na hilo jimbo.. Hilo hamliwezi tafuteni majimbo mengine lkn siyo hapo.... Na hizo pikipiki mlizogawa zimekwenda na maji... Hampati kitu hapo
 
Back
Top Bottom