Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Hilo lipo waziArusha yetu na Mbunge wetu ni lema
Hilo lipo waziArusha yetu na Mbunge wetu ni lema
Alijuwa hajijui kuwa alikuwa "hot target"sasa kaingia mwenyewe,sasa ndio atajua nini maana ya dola.
Sizonje anafikiri anamkomoa lema kumbe ndiyo anamuimarisha zaidi, na wananchi ndiyo tunazidi kuupenda upinzani, ccm sahau arusha
Labda weweArusha ipi inampenda Lema hata Mahakamani haiendi
Muda utaongea maana maongezi ya keyboard ni hiariKatika watu ambao hawana aibu hapa duniani ni wewe ndugu yangu!
Yaani unajua kabisa kua upo ukawa halafu bado unakomaa tu kudanganya kua ni ccm hata baada ya kugundulika janja yako!
Very cheap propaganda!
wanaomuunga mkono lema ni wapiga debe,,bodaboda na vijana wa unga ltd uko,,sasa hivi tunalia Utalii umeshuka,,mtalii gani atakuja Arusha wakati mbunge source ya vurugu na maandamano,,mahoteli yanafungwa kwa kukosa wateja,,vijana wakupandisha watalii ajira zimekufa so wanashindwa kuendesha familia zao,,husisifie kitu kwa kupata maelezo from street guys,,nenda kwa wamiliki wa makampuni na mahoteli kawaulize what goes on right now?
lema sio mbunge na hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10 kwa ufupi anapaswa kufungwa tuu ili watu watulie na shughuli za maendeleo zirejee katika hali yake kama hawali.
me nna card ya ccm toka 1995 ila kilichonifanya niwe ukawa ni madudu ya serikali ya hawamu ya 4,,nani aliipenda ccm ile ya kikwete?ila hawamu hii walau imeanza kunipa majibu ya kuichukia ccm so cna 7bu ya kuendelea kuichukiaKatika watu ambao hawana aibu hapa duniani ni wewe ndugu yangu!
Yaani unajua kabisa kua upo ukawa halafu bado unakomaa tu kudanganya kua ni ccm hata baada ya kugundulika janja yako!
Very cheap propaganda!
Arusha ipi inampenda Lema hata Mahakamani haiendi[/QUOTE
Wakienda mahakamani muwapige na kuwashika then mje huku kujidanganya wenyewe "eti amechokwa".,nguvu kubwa mnayoitumia kummaliza hamjui ya kwamba mwajimaliza wenyewe.
![]()
Labda wewe
Kwenu nyinyi matusi kawaida hoja zenu viojaSawa Mama Lema ila Arusha Mahakamani hawafiki...!
Kwenu nyinyi matusi kawaida hoja zenu vioja
Kama ndivyo mnavyotaka atakwenda. Kwanza nawashangaa mnahangaika na mahakama. Ila atabaki kuwa Lema hatasalim utesi wenu. Na sisi wengine tupo naye katika yoteUlaghai una mwisho wake na kawaida yake haudumu. Cadomo mmeanza kuweweseka, mna hofu ya Lema kwenda Jela Mwafa....!
Ul.itembelea vijiwe gani vya Arusha?Mbunge wa Arusha Mjini, aliyepo mahabusu, Godbless Jonathan Lema (CHADEMA), amewapa kilema wanaArusha. WanaArusha hawa si wale wa miaka ile. Hawa wanajadili mambo kwa uwazi, ujasiri, umakini, utulivu na umoja.
Nipo hapa Arusha karibu juma moja sasa. Nilikuja hapa kujiridhisha na kuthibitisha kuhusu nilichoripoti nikiwa Dar es Salaam kuhusu Lema kuendelea kutekeleza majukumu yake ya Ubunge akiwa Mahabusu.Nilisema hivi:Arusha: Lema 'aendelea kuongoza' akiwa mahabusu
Nimejiridhisha vya kutisha na kutosha kuwa Lema anaiongoza Arusha na kuaminika,kukubalika na bado 'yupo' na wanaArusha wake. Anasifiwa zaidi ya kukandiwa; anasemwa vyema kuliko kukosolewa. Anaonwa kama 'Baba wa Nuru' ya kifikra Arusha.
Kwa mara nyingine, nimemtembelea Lema. Yuko 'gado' na mwenye ari kubwa. Anasubiri hatma yake tamu ya kisheria kuhusu yanayomkabili. Hajutii kuwa katika hali aliyopo kwa 'kukisimamia' anachokiamini.
Arusha yang'ara, Arusha yasonga mbele na Lema wake.
Mwafaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)