Subiri uone
Subiri uone
Yule anakula mvuaNaona utabiri wako utakurudia wewe Mwenyewe.
La Tanzania. Kama tungekuwa na Rais kama Lema Tanzania ingekuwa mbali sana.Pole ndiyo Kipenzi Cha Watanzania wengi kwa saaaHazina ya taifa gani?
Mbunge wa Arusha Mjini, aliyepo mahabusu, Godbless Jonathan Lema (CHADEMA), amewapa kilema wanaArusha. WanaArusha hawa si wale wa miaka ile. Hawa wanajadili mambo kwa uwazi, ujasiri, umakini, utulivu na umoja.
Nipo hapa Arusha karibu juma moja sasa. Nilikuja hapa kujiridhisha na kuthibitisha kuhusu nilichoripoti nikiwa Dar es Salaam kuhusu Lema kuendelea kutekeleza majukumu yake ya Ubunge akiwa Mahabusu.Nilisema hivi:Arusha: Lema 'aendelea kuongoza' akiwa mahabusu
Nimejiridhisha vya kutisha na kutosha kuwa Lema anaiongoza Arusha na kuaminika,kukubalika na bado 'yupo' na wanaArusha wake. Anasifiwa zaidi ya kukandiwa; anasemwa vyema kuliko kukosolewa. Anaonwa kama 'Baba wa Nuru' ya kifikra Arusha.
Kwa mara nyingine, nimemtembelea Lema. Yuko 'gado' na mwenye ari kubwa. Anasubiri hatma yake tamu ya kisheria kuhusu yanayomkabili. Hajutii kuwa katika hali aliyopo kwa 'kukisimamia' anachokiamini.
Arusha yang'ara, Arusha yasonga mbele na Lema wake.
Mwafaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Yule anakula mvua
Unaweza ukadhani ni kitu cha kufurahisha sana,lakini siku nduguyo akiingizwa hapo na huyo huyo Majigambo utajua nini maana ya Futari.Hongera kwa kupandikiza Chuki miongoni mwa Watanzania. Kwetu Lema ni shujaa kuzidi Mwenyekiti wa CCM. Tungekuwa nabRais Kama yeye Tanzania tusingelalamikaSasa hivi arusha shwari big up mhe gambo, .
Na ubunge bye bye.Yule anakula mvua
HaswaaaNa ubunge bye bye.
Mshaurini aache kuandikia viongozi wenzake sms za ajabu.La Tanzania. Kama tungekuwa na Rais kama Lema Tanzania ingekuwa mbali sana.Pole ndiyo Kipenzi Cha Watanzania wengi kwa saaa
Alijuwa hajijui kuwa alikuwa "hot target"sasa kaingia mwenyewe,sasa ndio atajua nini maana ya dola.Mshaurini aache kuandikia viongozi wenzake sms za ajabu.
na akipona kwenye hii kesi ya mkuu wa Mkoa arudi akatambike Uchagani.
Arusha ipi hiyo umeenda? Mimi hapa wa arusha miaka nenda rudi, Ile ujinga sasa hivi hamna, wakumsindikiza tu mahakamani siku hizi hawapatikani. Hao viongozi wake wa kitaifa wenyewe wamemtembelea baada ya watu kupiga kelele na kujiuliza kulikoni. Mpeni kick huku kwenye mtandao lakini kwenye real life ya politics he is done.Mbunge wa Arusha Mjini, aliyepo mahabusu, Godbless Jonathan Lema (CHADEMA), amewapa kilema wanaArusha. WanaArusha hawa si wale wa miaka ile. Hawa wanajadili mambo kwa uwazi, ujasiri, umakini, utulivu na umoja.
Nipo hapa Arusha karibu juma moja sasa. Nilikuja hapa kujiridhisha na kuthibitisha kuhusu nilichoripoti nikiwa Dar es Salaam kuhusu Lema kuendelea kutekeleza majukumu yake ya Ubunge akiwa Mahabusu.Nilisema hivi:Arusha: Lema 'aendelea kuongoza' akiwa mahabusu
Nimejiridhisha vya kutisha na kutosha kuwa Lema anaiongoza Arusha na kuaminika,kukubalika na bado 'yupo' na wanaArusha wake. Anasifiwa zaidi ya kukandiwa; anasemwa vyema kuliko kukosolewa. Anaonwa kama 'Baba wa Nuru' ya kifikra Arusha.
Kwa mara nyingine, nimemtembelea Lema. Yuko 'gado' na mwenye ari kubwa. Anasubiri hatma yake tamu ya kisheria kuhusu yanayomkabili. Hajutii kuwa katika hali aliyopo kwa 'kukisimamia' anachokiamini.
Arusha yang'ara, Arusha yasonga mbele na Lema wake.
Mwafaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Poa Mzee Mandela alikula 27 mbona na akitoka?Atakula mvua miaka mitatu jela