Arusha kwatifuka; machinga wakinukisha

Nawaonaga hapa mjini!kweli mama zetu na dada zetu wanateseka!wamekuwa kama wakimbizi!serikali ichukue jukumu la kuwapatia eneo stahiki la hawa machinga.
 
Itakua niyaukweli but amekurupuka haja ielezea vizuri mmbaneni afunguke vizuri,sasa anakwambia manispaa ikoyoko levolos!! Nahii sio mpya kwani kumekua na mgambo wanao tumwa na mkuu wa mkoa wa Arusha bw magesa,hawa mgambo wanakomaa mpaka usiku wa manane na wanabeba mali za machinga na kukomboa mzigo wako ni sh50000,ukilemaa wanagawana then wanapelekea familia zao,juzi mkuu wa mkoa alikua anawasajili watoto wa mtaa na anawapa 50000 warudi makwao,na ametangaza vita na watu,anataka aone lami tu jiji zima.anaitwa bwana magessa huyu ninoouma ar
 
Hakuna sehemu pasipo na uonevu, ila Siku zote amani ipo kwa kua wanaoonewa wanapuuzia kuonewa kwao, ila wanapoamua kupinga kuonewa huko ndipo machafuko yanatokea. Tanzania ina amani kwa kua watanzania ni wapuuziaji wa uonevu tunaofanyiwa, HALAHALA CHADEMA MSITUFUNDISHE UJANJA TUKAIHARIBU NCHI YETU.
 
Hao mgambo wawaulize wenzao kule mbeya,walipigwa mpaka kuacha viatu siku hizi hawakanyagi kabisa maeneo ya wamachinga.
 
Hakuna sehemu pasipo na uonevu, ila Siku zote amani ipo kwa kua wanaoonewa wanapuuzia kuonewa kwao, ila wanapoamua kupinga kuonewa huko ndipo machafuko yanatokea. Tanzania ina amani kwa kua watanzania ni wapuuziaji wa uonevu tunaofanyiwa, HALAHALA CHADEMA MSITUFUNDISHE UJANJA TUKAIHARIBU NCHI YETU.
Leo wamama wamechoka na wameiponda ponda ofisi ya manispaa hapa Arusha...
 
MDADA: Unakunywa pombe?
MKAKA: Hapana
MDADA: Unavuta?
MKAKA: Hapana
MDADA: Una mademu?
MKAKA: Hapana MDADA: Sasa unajichanganyaje na washkaji?
MKAKA: Mi muongo ile mbaya
 
Back
Top Bottom