Arusha kwatifuka; machinga wakinukisha

Arusha kwatifuka; machinga wakinukisha

Weka ushahidi JF siyo sehemu ya porojo.

Wewe umeajiriwa na Nape kuja kufanya porojo halafu unasema JF sio sehemu ya porojo wakati ndio sehemu inayokufanya upate posho kwa Magamba, angalia wewe kijana utakatwa posho na Nape
 
Mgambo watafuta pesa ya sikukuu tu basi, hakuna lolote zaidi ya njaa
 
Hii habari nayo ni Breaking News?
Mkuu Ritz
Wameishiwa habari; hivi madiwani wa Arusha si wao? Inakuwaje wanashindwa kuweka sheria za kuwalinda wafanyibiashara ndogondogo?

Chama
Mongavyeru

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz
Wameishiwa habari; hivi madiwani wa Arusha si wao? Inakuwaje wanashindwa kuweka sheria za kuwalinda wafanyibiashara ndogondogo?

Chama
Mongavyeru

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Unajiiingiza kwenye namba za Arusha huku hakuna upuuzi, muulize mkuu wa mkoa anavyosota wewe ni IQ ya mbu baki hukohuko.
 
Nini kinaendelea? Mabomu waliyonunua wenyewe kwa kodi zao hayajaanza kurushwa?
 
Mkuu Ritz
Wameishiwa habari; hivi madiwani wa Arusha si wao? Inakuwaje wanashindwa kuweka sheria za kuwalinda wafanyibiashara ndogondogo?

Chama
Mongavyeru

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mkuu Chama,wanajaribu kukimbia na kupotezea thread zinawanyima usingizi na kuweweseka kwa wiki sasa.
 
Sio cdm hao wamehamasisha muishie huko huko huku kwetu pwani shwariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Chama gani kinahusika kuwahamasisha?

Hakuna chama hapa! uonevu ukizidi ndiyo inavyokuwa, kudai haki ni lazma! wakinamama wanaandama kupinga kuchukuliwa vitu vyao vinavyowasaidia kupambana na umaskini.
 
Mkuu Chama,wanajaribu kukimbia na kupotezea thread zinawanyima usingizi na kuweweseka kwa wiki sasa.

Nyie mna lenu..jitahidi kuandika sana, jioni mwende lumumba mkashike na ukuta..
 
Hakuna chama hapa! uonevu ukizidi ndiyo inavyokuwa, kudai haki ni lazma! wakinamama wanaandama kupinga kuchukuliwa vitu vyao vinavyowasaidia kupambana na umaskini.
Chadema mbona hamueleweki? Nyie ndio mna madiwani wengi kwenye halmashauri; sasa inakuwa hao watetezi wenu wa wanyonge wanashindwa kutunga sheria za kuwalinda wafanyibiashara wadogowadogo? Kuongoza si lelemama; mmekuwa mkiwatumia wamachinga sasa leo mnashindwa hata kuwatetea?

Chama

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
MDADA: Unakunywa pombe?
MKAKA: Hapana
MDADA: Unavuta?
MKAKA: Hapana
MDADA: Una mademu?
MKAKA: Hapana MDADA: Sasa unajichanganyaje na washkaji?
MKAKA: Mi muongo ile mbaya

we ni bonge la psychologist!
 
Bohari la jiji liko Levolosi. Pale ndipo bidhaa zote za wajasiriamali huwekwa then mgambo wanagawana. Wajasiriamali Wameshachoka kuporwa ndio sababu wanataka wasikiwe.
 
Back
Top Bottom