Arusha kwatibuka CHADEMA wawakimbia CCM Narok

Baada ya Baraza la Vijana lililomaliza leo Mkoani Arusha Vijana waliungana pamoja kwenda Narok kwa ajili ya kushangilia na kufarahia maazimio yao.

Vijana hao wakiwa ndani ya Sare zao wakionesha kuwa na furaha, nguvu na mapenzi mema kwa Chama walianza kushangilia huku wengine ambao ni waimbani wakiimba nyimbo mbali mbali pamoja na Band ambayo hutumbuiza Narok.

Hali hii ilifanya baadhi ya Vijana wa CDM waliokuwepo hapa kuanza kutafakari na kutafuta cha kufanya baada ya kuona wamezidiwa. Kama kawaida yao walianza kelele na matusi. A kunyanyua tuvidole vyao juu hali iliyowafanya vijana wa CCM kutibuka na kuanza kuimba CCM! CCM! CCM! CCM! CCM........

Hali hii iliendelea kwa muda na baada ya CDM kuona wamezidiwa nguvu walianza matusi ila kama kawaida yao na kutokana na ukongwe wao Vijana wa CCM waliaapuuzia wakiwashauri warudi wakakomezwe kisiasa ili walje delea na matusi.

Hali ilianza kuonekana kuwa mbaya baada ya wana CDM kuanza kutaka kuzusha ugomvi jambo lililomfanya mmoja kati ya wateja wenye mapenzi mema na amani kupiga risasi tatu juu na hapo ndipo wanaCDM walipoondoka kwa aibu huku Vijana wa CCM wakiendelea na burudani kali........

CDM sasa anzeni kuaga......

Umetupiwa ngapi kwa ajili ya kutuliza week end yako.
 
watu kama hawa kwanza inabidi post zao ziwe monitered,,, hatutaki uchawi,, , tunataka evidence based facts' and tips, yaani wewe unajiamkia tu,, ,, au umehongwa kupost haya madudu. .. please
 
jamaa anasema ukweli CHADEMA ni chama cha machokoraa nitafute nikupe fact on kakadowilbard@yahoo.com
 
Baada ya Baraza la Vijana lililomaliza leo Mkoani Arusha Vijana waliungana pamoja kwenda Narok kwa ajili ya kushangilia na kufarahia maazimio yao.

Vijana hao wakiwa ndani ya Sare zao wakionesha kuwa na furaha, nguvu na mapenzi mema kwa Chama walianza kushangilia huku wengine ambao ni waimbani wakiimba nyimbo mbali mbali pamoja na Band ambayo hutumbuiza Narok.

Hali hii ilifanya baadhi ya Vijana wa CDM waliokuwepo hapa kuanza kutafakari na kutafuta cha kufanya baada ya kuona wamezidiwa. Kama kawaida yao walianza kelele na matusi. A kunyanyua tuvidole vyao juu hali iliyowafanya vijana wa CCM kutibuka na kuanza kuimba CCM! CCM! CCM! CCM! CCM........

Hali hii iliendelea kwa muda na baada ya CDM kuona wamezidiwa nguvu walianza matusi ila kama kawaida yao na kutokana na ukongwe wao Vijana wa CCM waliaapuuzia wakiwashauri warudi wakakomezwe kisiasa ili walje delea na matusi.

Hali ilianza kuonekana kuwa mbaya baada ya wana CDM kuanza kutaka kuzusha ugomvi jambo lililomfanya mmoja kati ya wateja wenye mapenzi mema na amani kupiga risasi tatu juu na hapo ndipo wanaCDM walipoondoka kwa aibu huku Vijana wa CCM wakiendelea na burudani kali........

CDM sasa anzeni kuaga......

Kuku rost nyie CCM hamna lolote mshaisha vijana wote wananjaa hao wamefuata chao sasa mziki tunao sisi
 
Unatumia gongo aina gani ili wakuongezee nyingine?
Nasikia wewe sasa ni bingwa
 
Hivi ni kwa nini CCM wanasema uongo mchana kweupe!!?????!!!!!!?????
 
Kakado ata ndugu zako ni machoraa2 b4 ujajipa hadth yakunukuu wana wa arachuga machokoraa...
Samahan lakin c kosalako ni walez wako machoko..
 
Back
Top Bottom