Arusha kwatibuka CHADEMA wawakimbia CCM Narok

kuna member alinambia kuwa mtoa mada ni she anafanya shughuli zake shivasi mda wa usiku
 
We ***** tu, ccm ni kama mwali tu ilipo chadema ccm ni kijambio tu hawawezi kusema mbele ya wanaume, risasi ndio karata yao ya mwisho.
 
Baada ya Baraza la Vijana lililomaliza leo Mkoani Arusha Vijana waliungana pamoja kwenda Narok kwa ajili ya kushangilia na kufarahia maazimio yao.

Vijana hao wakiwa ndani ya Sare zao wakionesha kuwa na furaha, nguvu na mapenzi mema kwa Chama walianza kushangilia huku wengine ambao ni waimbani wakiimba nyimbo mbali mbali pamoja na Band ambayo hutumbuiza Narok.

Hali hii ilifanya baadhi ya Vijana wa CDM waliokuwepo hapa kuanza kutafakari na kutafuta cha kufanya baada ya kuona wamezidiwa. Kama kawaida yao walianza kelele na matusi. A kunyanyua tuvidole vyao juu hali iliyowafanya vijana wa CCM kutibuka na kuanza kuimba CCM! CCM! CCM! CCM! CCM........

Hali hii iliendelea kwa muda na baada ya CDM kuona wamezidiwa nguvu walianza matusi ila kama kawaida yao na kutokana na ukongwe wao Vijana wa CCM waliaapuuzia wakiwashauri warudi wakakomezwe kisiasa ili walje delea na matusi.

Hali ilianza kuonekana kuwa mbaya baada ya wana CDM kuanza kutaka kuzusha ugomvi jambo lililomfanya mmoja kati ya wateja wenye mapenzi mema na amani kupiga risasi tatu juu na hapo ndipo wanaCDM walipoondoka kwa aibu huku Vijana wa CCM wakiendelea na burudani kali........

CDM sasa anzeni kuaga.......

Wacha ushamba wewe mbona jamaa yangu mmoja ambae ni sisiem ! Alikuwa maeno hayo jioni na mpaka anarejea hapo ATC anasema hawafanya tukio unalolishadadia?

Nadhani ulitoka kuchunga porini saa hiyo na kudandia washabiki wa mpira na ukaamua kuja na thread yako isiyo na tija wala faida humu jf,labda kwa wenye mawazo ya kukopa kama yako wanaweza wakakubaliana nawe!
 
baada ya baraza la vijana lililomaliza leo mkoani arusha vijana waliungana pamoja kwenda narok kwa ajili ya kushangilia na kufarahia maazimio yao.

Vijana hao wakiwa ndani ya sare zao wakionesha kuwa na furaha, nguvu na mapenzi mema kwa chama walianza kushangilia huku wengine ambao ni waimbani wakiimba nyimbo mbali mbali pamoja na band ambayo hutumbuiza narok.

Hali hii ilifanya baadhi ya vijana wa cdm waliokuwepo hapa kuanza kutafakari na kutafuta cha kufanya baada ya kuona wamezidiwa. Kama kawaida yao walianza kelele na matusi. A kunyanyua tuvidole vyao juu hali iliyowafanya vijana wa ccm kutibuka na kuanza kuimba ccm! Ccm! Ccm! Ccm! Ccm........

Hali hii iliendelea kwa muda na baada ya cdm kuona wamezidiwa nguvu walianza matusi ila kama kawaida yao na kutokana na ukongwe wao vijana wa ccm waliaapuuzia wakiwashauri warudi wakakomezwe kisiasa ili walje delea na matusi.

Hali ilianza kuonekana kuwa mbaya baada ya wana cdm kuanza kutaka kuzusha ugomvi jambo lililomfanya mmoja kati ya wateja wenye mapenzi mema na amani kupiga risasi tatu juu na hapo ndipo wanacdm walipoondoka kwa aibu huku vijana wa ccm wakiendelea na burudani kali........

Cdm sasa anzeni kuaga........

kirefu cha c.c.m ni

(sisi ni mafisadi)

i.e c.c>>sisi
m>>mafisadi
 
Cdm sasa anzeni kuaga.......

Mjini kuna masharti hapa hadi ufanikiwe,,na sio kuja kutuvalia valia mashati ya kijani,,

ukajiona wewe ndio wewe,,
 
Toa taarifa ya kueleweka! Hicho chama ulichotaja kwenye paragrafu ya 1 & 2 ni kipi? Fanya wewe hukai hapa Arusha ni msomaji tu, soma thread yako yote uangalie kama ungeelewa. Narok kwa asiyejua ni bar atadhani ni sehemu fulani KENYA. Anza upya plz!.........

Mbona imeeleweka au una lako?
 
JK hakukosea aliposema kuna watu wana viwanda vya kutunga uongo!!Kumbe alikuwa anawazungumzia watu kama muanzisha thread!!!
 
hii haipo, haijatokea na wala usiitegemee arusha. Ccm mnalijua hilo na ndio maana mtoa thread umetumwa kupima upepo.

inategemea na jinsi walivyokuwa wakishangilia inawezekana walikuwa wanashangilia kwa kero na makelele wakawaboa watu wengine moja kwa moja mkasingizia cdm kama kawaida yenu
 
Narok ni kenya..arusha magamba hawana ujanja.endeleeni kutoa matamko wakti tushawatimua.
 
Baada ya Baraza la Vijana lililomaliza leo Mkoani Arusha Vijana waliungana pamoja kwenda Narok kwa ajili ya kushangilia na kufarahia maazimio yao.

Vijana hao wakiwa ndani ya Sare zao wakionesha kuwa na furaha, nguvu na mapenzi mema kwa Chama walianza kushangilia huku wengine ambao ni waimbani wakiimba nyimbo mbali mbali pamoja na Band ambayo hutumbuiza Narok.

Hali hii ilifanya baadhi ya Vijana wa CDM waliokuwepo hapa kuanza kutafakari na kutafuta cha kufanya baada ya kuona wamezidiwa. Kama kawaida yao walianza kelele na matusi. A kunyanyua tuvidole vyao juu hali iliyowafanya vijana wa CCM kutibuka na kuanza kuimba CCM! CCM! CCM! CCM! CCM........

Hali hii iliendelea kwa muda na baada ya CDM kuona wamezidiwa nguvu walianza matusi ila kama kawaida yao na kutokana na ukongwe wao Vijana wa CCM waliaapuuzia wakiwashauri warudi wakakomezwe kisiasa ili walje delea na matusi.

Hali ilianza kuonekana kuwa mbaya baada ya wana CDM kuanza kutaka kuzusha ugomvi jambo lililomfanya mmoja kati ya wateja wenye mapenzi mema na amani kupiga risasi tatu juu na hapo ndipo wanaCDM walipoondoka kwa aibu huku Vijana wa CCM wakiendelea na burudani kali........

CDM sasa anzeni kuaga......

kwanza umeshavuta ugoro wako unakupelekesha ! Ukalale! Sawa? Halafu chunga isije ikawa ulichanganya na viroba! ? Maana unaweza ukaandika pumba zaidi ya hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom