Inategemea na mahitaji yako mkuu.Wapendwa nahisi dunia imesimama, nina mawazo sana nahisi kila kitu kimesimama, nataka nije Arusha kupumzika....
Nipo jij la chalamila
Niandae bajeti ya shingap
Nishakuja huko zamani sana...
Sihitaj kwenda mbugani,nahitaji kukaa hapo hapo mjini.
NakaziaHayatuhusu kama rah P
kwa muda gani?Wapendwa nahisi dunia imesimama, nina mawazo sana nahisi kila kitu kimesimama, nataka nije Arusha kupumzika....
Nipo jij la Chalamila
Niandae bajeti ya shingap
Nishakuja huko zamani sana...
Sihitaj kwenda mbugani, nahitaji kukaa hapo hapo mjini.
Anakaa siku mbili au?Andaa laki Tano tu ili uepuke kuunga unga mjini
Haya ni makadirio ya kawaida sana, kama ni mnywaji na mpenda starehe akiingia the Hub atatumia pesa ndefu mkuu.Kwa life la kibongo bongo atarudi daslam kesho tu😀
nakazia hapaakiingia the Hub atatumia pesa ndefu
Tangu lini upo Arusha mzee wa mademu😂😂😂Wenyeji tupo