dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,220
- 54,866
weka picha, kuanzia raw material( kimba ) mpaka final product(mkaa)
Kaka ule mchakato wetu vp? Wa black carbon, nayo ni nzuri sana kwa hii misheNdio nilichokiwaza cha kwanza kabisa kwamba mchakato wa ukusanyaji wa mali ghafi unakuaje?
Tunapatiwa vyoo maalum au tunaachana na matumizi ya hivi vyoo vya kawaida?
Na inawezekana kutumia kinyesi cha wanyama? Kama vile mbuzi, kondoo, ng'ombe n.k
Next week ndugu yangu. Ntakua na siku mbili weekend tupange mkuu.Kaka ule mchakato wetu vp? Wa black carbon, nayo ni nzuri sana kwa hii mishe
ni mabaki ya mwisho ya sukari baada ya kusafisha mitambo ya kusindika sukari kiwandani. Ni majimaji yanayofanana na lami nyepesi, molasisi ipo sana tpc, mtibwa na kagera kwenye viwanda vya sukariAsante Mkuu
Molasesi ni msamiati kwangu
Nakumbuka miaka hiyo kijijini, huenda hata sasa ipo...tulikuwa tunatumia kinyesi cha ng'ombe kama fuel/mkaa...Ndio nilichokiwaza cha kwanza kabisa kwamba mchakato wa ukusanyaji wa mali ghafi unakuaje?
Tunapatiwa vyoo maalum au tunaachana na matumizi ya hivi vyoo vya kawaida?
Na inawezekana kutumia kinyesi cha wanyama? Kama vile mbuzi, kondoo, ng'ombe n.k
Nakumbuka miaka hiyo kijijini, huenda hata sasa ipo...tulikuwa tunatumia kinyesi cha ng'ombe kama fuel/mkaa...
Kinyesi kinakaushwa hadi kinakuwa kikavu, halafu kinakuja kutumika kwenye jiko mfano wa tanuro dogo...kikiwaka mwanawane hakuna kuzima
Asssseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
PoouwaNext week ndugu yangu. Ntakua na siku mbili weekend tupange mkuu.
Na kisha mkaa ukachome mahindi mabichi, mbona patamu hapoKutoka BBC asubuhi hii, kuna vijana wabunifu wakazi wa Arusha wamekuja na mkaa unaotokana na kinyesi cha binadamu.
NB: sijaelewa vizuri aliposema unatengenezwa kwenye nyuzi joto 450
- Ni mkaa usio na athari yoyote kiafya hata kama mtu atalala nao ndani
- Ni mkaa unaokaa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida.
- Huwezi kuuzima na maji kama mkaa mwingine
- Hauna moshi
- Kinyesi kinachotengeneza mkaa huo kinakuwa kikavu kama keki
Hii itakuwa nzuri sana kwasisi wenye makimba mazito mazito kama tembo.Ndiyo ndiyo ni sisi wabunifu. Na soon tutaanzisha vituo vya kuuzia mavi. Unaingia unakunya then unalipwa kulingana na uzito wa kimba lako.
The more unatoa mzigo mzito the more the malipo.