tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,672
- 19,187
Ile itabaki kua nyumba ya popoIle ya nyota tatu imejengwa na TANAPA kule chato katika kuunga mkono jitihada za kuanzisha kanda maalum ya utalii......sasa watu wa Arusha hebu mtufahamishe brand ya TANAPA wana hotel ya nyota ngapi huko Arachuga?
Unahisi bila shakaGran Melia haiwezi kuwa ya kibongo! Lazma kuna Melia hotels duniani huko
Singita iko SerengetiSerena
Nimesikia na Four season pia ipo..
Singita..
Gran Melia iko kwa wapi?Gran Melia. Tafuta Melia international hotels or developments.
Jirani na sabasaba opposite na viwanja vya gymkhana. Ukiwa unatoka Phillips kuelekea round about ya impala (Njiro/Kijenge) mkono wa kushoto.Gran Melia iko kwa wapi?
Eeh najua hamna mbongo mwenye akili ya kuanzisha venture ikasimamaUnahisi bila shaka
Melia ni International mzeeEeh najua hamna mbongo mwenye akili ya kuanzisha venture ikasimama
TakbiiirGrand melia
Nje ya mjini kati Arusha hakuna barabara yenye lami mtaaniSio tu Hotel barabara nazo ni mbovu sana pia ni nyembamba maeneo mengi yana jam muda wote
INje ya mjini kati Arusha hakuna barabara yenye lami mtaani
Njiro. Hakuna mtaa hata mmoja wenye lami. Hali ni hiyo hiyo kila sehemu ya Arusha nje ya mjini katiUnaishi Arusha sehem gani boss
I
Na unatoka mkoa ganiš¤£Njiro. Hakuna mtaa hata mmoja wenye lami. Hali ni hiyo hiyo kila sehemu ya Arusha nje ya mjini kati
Arusha..maswali yameisha?Na unatoka mkoa ganiš¤£
Muulize na kabila lake kabisa huyuNa unatoka mkoa gani
Muarusha. Una swali lingine?Muulize na kabila lake kabisa huyu