mpingauonevu
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 621
- 434
Sasa haya maswali unamletea nan humu? Si uwende Arusha ukawaulize wananchi wenyewe kuliko kuleta ukinega wako humu! Najua unachuki binafsi na Lema na una element za kigamba, Basi na wewe tukuulize hivi na wewe umefanya mangapi ktk taifa lako kama si kupiga majungu 2" ACHA TABIA ZA KIKE.
tuviainishe basi ili watu wengi wavione. mfano alitaka kufanya nini na dola ikazuia nini basi hapo tunajua sio kosa lake.kabla ya kuangalia hayo angalia vikwazo vya dola na ccm anavyokutana navyo
Tukiwa ni wakazi wa Arusha tunakubaliana kwamba Arusha ni ngome ya CDM. Arusha ni jiji ambalo linaingiza pato la kutosha kwa Taifa. Lakini ndilo jiji pekee Tanzania ambalo halipangiki, halina barabara na wala haijulikani mpango wake wa kesho ni nini. Lakini kwa Mbunge wetu tunaona yuko busy na matukio yatakayomfanya awekwe ndani na polisi ili apate kura za huruma. Swali la kujiuliza
1. Majukumu ya mbunge ni yapi na Lema ametimiza mangapi.
2.Majukumu ya madiwani ni yapi na mbunge amewahamasisha madiwani wake kwa mangapi?
3.Je? tukimlinganisha Lema na Felix Mrema nani atakuwa amefanya mengi kwa maendeleo ya Arusha?
4.Je? Lema ndiye aina ya mbunge tunayemuhitaji?
naomba kuwakilisha
Bucho unaonekana unaijua A-Town, kumbe nimegundua wewe ni wa kuja, au la una lako jambo!Mkuu umeongea point sana . Kwakweli hali mbaya sana hasa upande wa barabara na ajira kwa vijana . Nafikiri 2015 tutajua chakufanya.
hebu tuambie kwanza utandaji kazi bora ya hao wabunge wa ccm unaowaona wanafanya kazi nzuri kuliko Lema?
Mada yako inaonyesha wazi wazi chuki binafsi na Lema
Bucho unaonekana unaijua A-Town, kumbe nimegundua wewe ni wa kuja, au la una lako jambo!
Kam aupo Arusha kwa sasa utakuwa umeona mabadiliko katika barabara kadha za mji!...
1.Hujaona bara2 ya round about ya Unga Ltd kupitia FIRE kwenda kuunganisha East Africa Hotel ikiwa inajengwa?
2.Hujaona eneo la Makao Mapya bara2 zile zikiwa matengenezo?
3.Huoni bara2 ya Ngarenaro to Majengo ikiandaliwa kwa upanuzi?
Ni kweli hazi-meet demand ya barabara, lakini huwezi kufanya kazi hizi overnight!
We should learn to appreciate!
Kweli maisha yamekuwa magumu mara dufu. Lema ni mbunge kazi za mbunge zimeainishwa kwenye KATIBA ya jmt. Haya maswali muuli aliyeshikilia dola na serikali. Felix hakufanya lolote la maana hata kidogo, zaidi kawekeza katika mashamba ya maua 'malalua'
Tungekuwa na utaratibu huo wa kuhoj bila shaka serekali ya ccm isingekuwa madarakani..najua unaugomvi na lema kwa kuwa hakukupa ubwabwa,kofia,kanga.........kiukwel lema kaongeza uelewa wa watu hapa ar.polisi hawapigi watu hovyo kama wanavyofanya mikoa mingine lingine tunaona barabara za lami zinajengwa kwa kasi katikati ya mji
hapo red; hizo kura za huruma anapiwa lini ? kama kuwa busy na police ni baada ya uchaguzi sasa hizo kura za huruma zinakujaje leo mwaka 1 baada ya uchaguziTukiwa ni wakazi wa Arusha tunakubaliana kwamba Arusha ni ngome ya CDM. Arusha ni jiji ambalo linaingiza pato la kutosha kwa Taifa. Lakini ndilo jiji pekee Tanzania ambalo halipangiki, halina barabara na wala haijulikani mpango wake wa kesho ni nini. Lakini kwa Mbunge wetu tunaona yuko busy na matukio yatakayomfanya awekwe ndani na polisi ili apate kura za huruma. Swali la kujiuliza
1. Majukumu ya mbunge ni yapi na Lema ametimiza mangapi.
2.Majukumu ya madiwani ni yapi na mbunge amewahamasisha madiwani wake kwa mangapi?
3.Je? tukimlinganisha Lema na Felix Mrema nani atakuwa amefanya mengi kwa maendeleo ya Arusha?
4.Je? Lema ndiye aina ya mbunge tunayemuhitaji?
naomba kuwakilisha
hapo red; hizo kura za huruma anapiwa lini ? kama kuwa busy na police ni baada ya uchaguzi sasa hizo kura za huruma zinakujaje leo mwaka 1 baada ya uchaguzi
Ndiyo maana watu wanasema una hila na LEMA
Mkuu umeongea point sana . Kwakweli hali mbaya sana hasa upande wa barabara na ajira kwa vijana . Nafikiri 2015 tutajua chakufanya.