Arusha: Hukumu ya kesi inayomkabili Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi Oktoba 15, 2021

... I hope the minimum sentence will be 30 yrs in prison without any possibility of parole! Kama alizoea kula mezani pa mfalme; mfalme leo hayupo! Tunamtakia maisha mema anayoenda kuyaanza leo.
 
30 kwa uchahe

... I hope the minimum sentence will be 30 yrs in prison without any possibility of parole! Kama alizoea kula mezani pa mfalme; mfalme leo hayupo! Tunamtakia maisha mema anayoenda kuyaanza leo.
Na afungwe tu

images (1).jpeg


images.jpeg
 
Wewe tulia mahakama ifanye kazi yake, maana nyie hamueleweki, Sabaya akihukumiwa kifungo mtashangilia na kusema mahakama imetenda haki, mtu wenu akihukumiwa kifungo makelele kibao kuwa mahakama haijatenda haki, wakati mahakama ni ile ile ya Tanzania. Mnafikili watu wenu ni malaika hawawezi kufanya makosa?

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
😄😄😄 Wkt akihojiwa na Salim kikele Mama alisema watuhumiwa wenzake na Mbowe wako gerezani wakitumikia adhabu zao? Alimaanisha Nini hapo?😁😁😁
 
Hakuna kazi ngumu Mahakamani kama kumtia hatiani mtuhumiwa.

Bado ninaona giza nene kwa Sabaya na Mbowe kukutwa na hatia.

Sabaya atakuwa huru na hapo ndipo mtajua uzito wa kuthibitisha jinai, na siasa na Sheria ni kama mafuta na maji taka
 
Wanajukwaa nawasimu,
Hongereni kwa kuendelea kuchapa kazi na kulijenga Taifa letu.

Kama nitakuwa ninakumbuka vema, ilisemwa tarehe ya leo (1/10/2021) Ni siku ya hukumu ya Kesi ya Lengai Ole Sabaya ( Kesi ile ya mwanzo).

Je kumbukumbu zangu ziko sawa?.
Hili ni igizo mapeemaa yuko huru, anabakisha kukamilisha utaratibu wa kesi nyingine tu
 
Back
Top Bottom